Mwalimu mwenye kufanya mapenzi na wanafunzi wake wa kike

Dume la Nyani

Member
Apr 14, 2011
37
8
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa huyu mwalimu wa shule ya sekondari kufanya ngono na wanafunzi wake wa kike tena wengine ni watoto wadogo kabisa, asipojirekebisha tutamtaja jina lake na shule anayofundisha.
 
Mtaje, kwanini unaficha jina lake?
Kama ni watoto wadogo kabisa
na wewe una uwezo wa kuziwia
but unaendelea kukaa kimya
basi na wewe ushtakiwe for complicity!
 
nawashangaa sana baadhi ya wanajamvi, kuna mtu aliwahi kuleta hoja yake, mkewe ni mwalimu, baada ya kupangwa jamaa aliyempangia shule ya karibu karibu akatembea nae, ushahidi ulikuwa meseji za mapenzi kati ya jamaa huyo aliye ekti kama afsa elimu sekondari bagamoyo, na hapo hapo bagamoyo, watu kimpya, nilijiuliza sana kabla sijaingia jamvini.
 
unashangaa nini?
mke ni mtu mzima
wanafunzi ni watoto
huoni tofauti?
 
imekuwa ni jambo la kawaida kwa huyu mwalimu wa shule ya sekondari..kufanya ngono na wanafunzi wake wa kike tena wengine ni watoto wadogo kabisaaa...acpojirekebisha 2tamtaja jina lake na shule anayofunsha
huna msaada usijikoshe kwa wanajf kwanini umficheee na usimtaje hadharani?
 
Hii thread ipo kimajungu zaidi. kama unajua kw nn usimtaje?!! ......
 
Taja huyo ticha ukikaa kimya ujue unasuport ada za wazaz zitumbukie chooni.
 
imekuwa ni jambo la kawaida kwa huyu mwalimu wa shule ya sekondari..kufanya ngono na wanafunzi wake wa kike tena wengine ni watoto wadogo kabisaaa...acpojirekebisha 2tamtaja jina lake na shule anayofunsha

Huyo mwalimu yupo hapa JF???
Umemwambia huu ujumbe mhusika au watueleza sisi kwanza?:baby:
Kama shida yako ni kurekebisha maovu yake ongea nae kwanza, asipojirekebisha njoo umuaibishe hapa JF maana wazazi tupo wengi hapa tusiopenda wadogo zetu/ watoto wetu waharibikiwe.
 
JAMII FORUMS
Where we dare to talk openly.

Mods watu wengine hawana hata sifa za kuwa humu ndani, ingefaa mkatupa kule.
 
JAMII FORUMS
Where we dare to talk openly.

Mods watu wengine hawana hata sifa za kuwa humu ndani, ingefaa mkatupa kule.

jamani siamesema ametoa karipio kwanza kama atendelea na hako kamchezo atmtaja sasa mbona mnharaka kamaaaaaaa.....kueni wavumilivu SIKUNJEMA HAZISHIIIIII!..!!!!!!!!! zipo kila week ikifika hiyo siku atamtaja...
 
elimu ya viungo wanafunzi wanashauriw kutembea , kama makongo wanafunzi hawaruhusiwi kupanda basi pale nje ya geti hutembea na walimu wao hadi mwenge kwa ajili ya afya
 
Back
Top Bottom