Hivi una akili wewe?!!!!Umasikini ni laana yahn mzazi unafika hatua ya kushindwa kukaa na binti yako unaruhusu akake kwa watu baki .....lakini pia uyo mzazi alikosa majina mpaka akampa mwanae jina la TATIZO.??
Hivi una akili wewe?!!!!Umasikini ni laana yahn mzazi unafika hatua ya kushindwa kukaa na binti yako unaruhusu akake kwa watu baki .....lakini pia uyo mzazi alikosa majina mpaka akampa mwanae jina la TATIZO.??
Tuna Imani na polisi walau watakuja na majibu
Sina wasiwasi na Akili zangu.....labda Akili zako ambazo unaona Ni Sawa Kwa ulimwengu huu WA sasa Ni kawaida mtoto wako wa miaka16 kwenda kuishi na mtu bakiHivi una akili wewe?!!!!
Maisha ya vijijini shule ziko mbali sasa mtoto apangiwe chumba au atembee umbali mrefu tena usiku usiku si bora kuishi na mwalimu. Na hiyo ni kawaida kabisaSina wasiwasi na Akili zangu.....labda Akili zako ambazo unaona Ni Sawa Kwa ulimwengu huu WA sasa Ni kawaida mtoto wako wa miaka16 kwenda kuishi na mtu baki
Ila wewe jamaa koment zako huwa zinafurahisha japo ni jambo la huzuni.Umetoka kukoment mahali mtoto wa miezi minne ni clasmate wako.Yani wewe kilw anaekufa ni mlisoma nae.R.i.P Classmates....😥
Polisi hawahawa waloshindwa kujua nani kamahambulia Lissu?Tuna Imani na polisi walau watakuja na majibu
Inaweza kuwa unavyosema pia inaweza kuwa pia sababu si hiyo. Ila polisi wajitahidi haki ipatikane waliohusika na mauaji haya wakamatwe na washtakiwe na wahukumiwe kunyongwa.Hao watakuwa ni vibaka wa kijijini waliovamia kuiba mzigo wa dukani na visenti vya ticha…!!
Walivyoona wamejulikana sura zao ikabidi wafanye mauaji kufuta ushahidi.
Walimu wa taifa hili wanapitia magumu sana, haswaa hawa wa vijijini.
Mungu azilaze roho zao mahali salama na ampe uponyaji huyo mtoto
Kwa bush hiyo ni kawaida wala polisi hawahitaji kujua chanzo ni nini? Halafu huyo mwalimu ni mrembo nimemuona, au itakuwa alikuwa na mahusiano na mume wa mtu….maana walimu nao kwa kupenda kuiba waume za watu wako vizuriInaweza kuwa unavyosema pia inaweza kuwa pia sababu si hiyo. Ila polisi wajitahidi haki ipatikane waliohusika na mauaji haya wakamatwe na washtakiwe na wahukumiwe kunyongwa.
Mkuu unapafaham hapo kiwanja au chunya? Namaanisha lazima kuna chanzo kingine ila sio mzigo wa dukan ambao hata mil10 haufikiHao watakuwa ni vibaka wa kijijini waliovamia kuiba mzigo wa dukani na visenti vya ticha…!!
Walivyoona wamejulikana sura zao ikabidi wafanye mauaji kufuta ushahidi.
Walimu wa taifa hili wanapitia magumu sana, haswaa hawa wa vijijini.
Mungu azilaze roho zao mahali salama na ampe uponyaji huyo mtoto
Hiyo ni habari nyingine mkuu na nafikiri unafanya kosa kubwa kulizungumzia hilo kwa kulaumu. Sidhani kama kuna chochote unakijua kuhusu mahusiano yao na historia yao kiasi cha kufikia kuingiliana kiasi hicho. Shukuru Mungu kama umejitosheleza kwa kila kitu.Sina wasiwasi na Akili zangu.....labda Akili zako ambazo unaona Ni Sawa Kwa ulimwengu huu WA sasa Ni kawaida mtoto wako wa miaka16 kwenda kuishi na mtu baki
Basi aligonganisha magari mkuuMkuu unapafaham hapo kiwanja au chunya? Namaanisha lazima kuna chanzo kingine ila sio mzigo wa dukan ambao hata mil10 haufiki
Huyo jamaa ni wa KUMPUUZA tu,hajui anenacho!Maisha ya vijijini shule ziko mbali sasa mtoto apangiwe chumba au atembee umbali mrefu tena usiku usiku si bora kuishi na mwalimu. Na hiyo ni kawaida kabisa
Anaweza kuwa sahihi kwa upande fulani; nafikiri yuko kiroho zaidi na anamaanisha dunia ni darasa as kuna meeengi ya kujifunza kwa kila aliye hai. Kwahiyo basi, wote waliopo juu ya huu uso wa dunia ni classmates!!!! Mwamba yuko vema kwa hili.....Ila wewe jamaa koment zako huwa zinafurahisha japo ni jambo la huzuni.Umetoka kukoment mahali mtoto wa miezi minne ni clasmate wako.Yani wewe kilw anaekufa ni mlisoma nae.
Poa clasmate.Anaweza kuwa sahihi kwa upande fulani; nafikiri yuko kiroho zaidi na anamaanisha dunia ni darasa as kuna meeengi ya kujifunza kwa kila aliye hai. Kwahiyo basi, wote waliopo juu ya huu uso wa dunia ni classmates!!!! Mwamba yuko vema kwa hili.....