Mwalimu Mkuu kaeleza changamoto za shule, kapata misaada, kashushwa cheo

Mwalimu Mkuu kaeleza changamoto za shule, kapata misaada, kashushwa cheo

Kweli maafisa elimu wengi hawanakitu kichwani maana kuna jamaa amesomea education with community development sasa anataka tu kuhama aende community development lakini vigisugisu anavyopata ni hatari, wengi wao wamepata vyeo kwa kubebana tu
 
Mwenzio ndio huyo kasema ukweli lakin katumbuliwa , halafu wewe nakufananisha na mjinga ambaye katawadhwa na mamaye akiwa machanga hadi alipo pata fahamu na kujitambua halafu baada ya hapo akisha jitambua tu anamuona mama yake ni mjinga na hana maana tena kwake, maana hata jeuri hiyo ya kuandika upupu wako hapa umeipata kutoka kwa mwalimu

Pili nimekuwa mwalimu hadi nilipo achana na kada hiyo 2001 lakin kama utaweza tuwekee vyeti vyako hapa ili tujiridhishe kwamza wewe ni yule T.O wa one 7 fm4, na one 3 ,fm 6 na GPA ya 5.0 chuo ili tuungane na wewe kwa mba mwenzetu uko vizuri up stair kwa maana hujafeli

Hahahaa kwa coment zako tu humu sidhan kama ungebahatika kufika fm 4 ungeambulia hata DV O maana nadhan ungefeli zaid ya hapo kichwa chako cheupe mno kwa hoja zako mkuu

Kama upo sawa ingia pm utume vyeti vyako na mimi nikutumie chakwangu cha O level au advance ili uthibitishe kwamba walimu ni walio feli mkuu. Maana nimepitia huko.
Mkuu unaujua ukweli lkn unatumia nguvu kupandisha maji mlimani. Halafu jinsi upeo wako ulivyo mfinyu kwako wewe aliyefaulu ni aliyepata point 7 O level na point 3 A level.

Kwa kada ya ualimu hakuna mwenye dv I & II ya f4 aliyeenda kusomea ualimu wa s/m. Kwa kidato cha 6 hakuna mwenye dv I & II aliyeenda kusomea diploma ya ualimu. Tena hata wenye div III ni wachache sana walioingia ualimu.

Huko vyuo vikuu ni wale waliopata div III za mwanzo ambapo kozi nyingine zote zimegoma ndiyo anasoma ualimu.

Ualimu ndiyo kada inayochukua makapi ya wanafunzi toka ngazi zote za elimu. Ndiyo maana hata humu badala ya kujenga hoja ili kupinga hoja mnabaki kujikanyaga tu.

Nenda kaulize hata mtaani huko msukuma mkokoteni anau-dis ualimu. Ni profession ya wachovu vichwani
 
Wafu wazikana,wenye vyeti halali wanaonewa na kushushwa cheo ila wenye vyeti FAKE wanapeta tu Duh! Hii ndio Tz
 
Inawezekana alitangaza njaa nno kiasi cha kujitia haibu... bila shaka hiyo ni kigonzile ni pembeni kidogo ya manispaa ya Iringa.Lakini kuna shule moja iringa vijinini kuna kiongozi wa kitaifa wa chama pinzani alipita na kusaidia tsh.laki moja kesho yake mwalimu mkuu mwanamke... aliitwa na mamlaka na kupewa onyo kali na kuamlishwa kuwa hiyo hesa aidha airudishe au atajua kwa kuipeleka na isiingie katika matumizi ya shule.
wakuu wa shule hawako huru ki hivyo at extent akiongea na wana habari tu kesho yake anapokwa cheo.
 
Unakosea sana. Walimu wanaoikubali ccm hawafiki hata 40% kwa sasa. Kwanza kumbuka walimu wengi ni graduate na diploma hivyo ni lizazi kipya hiki sio cha enzi za mwalmu.

Madogo huko shule wote ni upinzani. Staff ni mwendo wa mabishano ya kisiasa kwa sana. Hapo napingana na wewe. Na wanajua sana kufiatilia haki zao shida chama chao.
Kama ni hivyo Tanzania mpya inakuja. Maana hawa walikuwa kikwazo sana Mkuu. Kuna jimbo nilifuatilia kesi ya kupinga matokeo ilibainika kuwa walimu waliwekwa kimkakati kuwapigia kura kwa ccm wazee wote wasiojua kusoma na kuandika.
 
Unakiongea kitu usicho kijua na unatumia hisia potofu ulizo jijengea zaid kuliko tafakari ya kina mkuu .
Kuondoa hii unayoita dhana potofu ni jukumu lao kuthibitisha kwa matendo yao
 
Alichokosea huyo kwa wa kubwa wake ni kuwa msemaji mkuu wa taasisi bila kibali cha bosi wake hata kama amesema kweli wenyewe wanasema itifaki haikuzingatiwa.nadhani alipaswa kuanzia juu yaani mkurugenzi,Afisa habari,Afisa Elimu kwa kufuata mtiririko huo japo alipaswa kupewa onyo na kuelimishwa huenda pengine hafahamu utaratibu
 
Hatutafika Kamwe Tuendako Kwa Huu Mwendo Wa Msemakweli Hapendwi
 
Mm huwa nikiona malalamiko ya walimu sipati huruma dhidi yao. Hawa ndiyo watu wanao ikumbatia ccm. Huwa wanatumika vibaya wakati wa uchaguzi.

Lkn pia kwa wingi wao ktk nchi hii miongoni mwa watumishi wa umma wangeweza kuishinikiza serikali kuboresha maslahi yao. Lkn kila siku wao ni kulialia tu.

Diwani, mkurugenzi na wakuu wa wilaya wakitaka kuonekana wanafanya kazi wanamnyanyasa mwalimu.

Tatizo kubwa walimu wengi walifeli, ndiyo maana hawajiamini. Sifa ya kuwa mwalimu lazima ufeli kwanza.
Sio mzima ww wakakupime akili yko,kufeli kwao kunakuhusu Nn,ww uliofaulu unatembelea chota au maisha Yale Yale ,acha kuwa na fikra za kitoto ,,sikuzote ongelea vitu fact na sio majungu havijengi ktk jamiii,walimu wanafanya kaz kubwa sana ,husipokuwa makini utakuja kuwalaumu ata wazaz wako
 
Mkuu mfumo wetu wa kuwapata walimu ndiyo uko hivyo mkuu. Tena kama walimu wa s/m ndiyo usiseme kabisa asilimia kubwa wana vyeti vya marehemu ama wamebashite.
Nikimaliza kuhack taarifa zako nitakuja Na jibu lakujupa
 
Mkuu mfumo wetu wa kuwapata walimu ndiyo uko hivyo mkuu. Tena kama walimu wa s/m ndiyo usiseme kabisa asilimia kubwa wana vyeti vya marehemu ama wamebashite.
Nikimaliza kuhack taarifa zako nitakuja Na jibu lakujupa
 
Mm huwa nikiona malalamiko ya walimu sipati huruma dhidi yao. Hawa ndiyo watu wanao ikumbatia ccm. Huwa wanatumika vibaya wakati wa uchaguzi.

Lkn pia kwa wingi wao ktk nchi hii miongoni mwa watumishi wa umma wangeweza kuishinikiza serikali kuboresha maslahi yao. Lkn kila siku wao ni kulialia tu.

Diwani, mkurugenzi na wakuu wa wilaya wakitaka kuonekana wanafanya kazi wanamnyanyasa mwalimu.

Tatizo kubwa walimu wengi walifeli, ndiyo maana hawajiamini. Sifa ya kuwa mwalimu lazima ufeli kwanza.
hivi division ll nayo ni failure?
 
Back
Top Bottom