Mwalimu Mkuu adakwa na TAKUKURU kwa kutaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake wa miaka 14 ili kumsaidia mitihani

Jamani..sasa huo mkuyenge si angeenda kununua zile za mafungu tu.ona sasa jela inanukia na kuliwa kiboga nje nje
 
Sasa uchunguz wa nn tena wakat washa mkamata kwenye tukio akitaka timiza jambo baya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…