Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
Hapa kuna tatizo la umri. Baba mzazi miaka 22, mtoto miaka 9. Kwa hiyo baba alipata mtoto akiwa na miaka 12 ama 13. Naona haijakaa sawa hii!Katika tukio lingine Kamanda Matei amesema kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Samwel Msukila (22) mkazi wa Mbeya, anashikiliwa na Jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka tisa.
Itv
Kwa umri wa huyo aliyembaka mwanawe uliwekwa hapo inaonesha kuwa hata yeye alimpata huyo mtoto akiwa bado ni mdogo sana (miaka 13). Huko inaonesha watu wanafyatuana wakiwa wadogo sana. Baridi.Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwaselela iliyopo katika Kata ya Iwindi Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Alinani Mwakifuna (59) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumbaka mjukuu wake mwenye umri wa miaka 15.
Kamanda Ulrich Matei
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ulrich Matei amesema mwalimu huyo alimbaka mjukuu wake ambaye jina limehifadhiwa Februari 16 mwaka huu akiwa naye shambani.
Akitoa taarifa hiyo, Kamanda Mtei amepinga kuhusisha tukio hilo na masuala ya kishirikina.
Katika tukio lingine Kamanda Matei amesema kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Samwel Msukila (22) mkazi wa Mbeya, anashikiliwa na Jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka tisa.
Kamanda Matei alisisitiza kuwa matukio yote mawili na mengine ambayo yamekuwa yakitokea mkoani humo hayahusiani na imani za kishirikina na badala yake ni tamaa za kimwili za wahusika.
Itv
Inawezekana kabisa. Huwa hatuyasikii tu.Hapa kuna tatizo la umri. Baba mzazi miaka 22, mtoto miaka 9. Kwa hiyo baba alipata mtoto akiwa na miaka 12 ama 13. Naona haijakaa sawa hii!
Kwani FaizaFoxy ameongea kipi kinacho mstahili mitusi? Hajaongelea excuse, yeye ameongelea possibility inayopelekea watoto kuweza kujihusisha na mambo yale katika umri mdogo.Kwahiyo excuse yako unaipeleka kwenye baridi?!??!? Mwanaizaya mkubwa wewe.
Ajuza punguani wa head
Hapa kuna tatizo la umri. Baba mzazi miaka 22, mtoto miaka 9. Kwa hiyo baba alipata mtoto akiwa na miaka 12 ama 13. Naona haijakaa sawa hii!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kastarehe ka dakika 3 na sekunde 47 kamemkosesha babu kikokotoo chake inawezekana pia na ka umri kake kaliko salia anakakamalizia kwa nguo za rangi ya machungwa.Hapa mzee kabikisa mwaka mmoja apate mafao kala n'gombe mzima kasoro mkia hizi tamaa za mwili zinatupeleka pabaya
inamaana huyu baba alipata mtoto wakati ana miaka 12 akiwa darasa la tano hii si rahisi kuamini.
Maana mvulana wa miaka 12 anakua hajafikia bado ile sexual maturity .
Sent using iPhone x
Kwahiyo we umewasha na nini?!??!?Kwani FaizaFoxy ameongea kipi kinacho mstahili mitusi? Hajaongelea excuse, yeye ameongelea possibility inayopelekea watoto kuweza kujihusisha na mambo yale katika umri mdogo.
Nimewashwa uume!! Nisaidie mkuu utakuwa umenifanyia utu sana mkuu.Kwahiyo we umewasha na nini?!??!?
... Bi Aysha!Inawezekana kabisa. Huwa hatuyasikii tu.
KaribuNimewashwa uume!! Nisaidie mkuu utakuwa umenifanyia utu sana mkuu.
Kwahiyo excuse yako unaipeleka kwenye baridi?!??!? Mwanaizaya mkubwa wewe.
Ajuza punguani wa head