L lageneral Member Joined Mar 24, 2007 Posts 60 Reaction score 1 Sep 9, 2009 #1 Wakuu kuna mtu ana taharifa nani ni mmiliki wa Jk school ambayo ilikuwa ikimilikiwa na habari corp ya akina Jenerali?Au nayo ilinunuliwa na Rostam?
Wakuu kuna mtu ana taharifa nani ni mmiliki wa Jk school ambayo ilikuwa ikimilikiwa na habari corp ya akina Jenerali?Au nayo ilinunuliwa na Rostam?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,669 Sep 10, 2009 #2 nimesoma habari za shule hiyo kwenye raia mwema so inaonekana bado iko chini ya jenerali.
Limbani JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 1,438 Reaction score 444 Sep 10, 2009 #3 Ile shule ilikuwa chini ya Habari Corporation, hivyo nayo imeuzwa kwa fisadi RA
Keen JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 617 Reaction score 172 Sep 10, 2009 #4 The Boss said: nimesoma habari za shule hiyo kwenye raia mwema so inaonekana bado iko chini ya jenerali. Click to expand... Nini mbaya hapa? Please be clear as much as possible. Kwani Jenerali iko na shida gani kumiliki shule? I don't see the issue coming out clearly here.
The Boss said: nimesoma habari za shule hiyo kwenye raia mwema so inaonekana bado iko chini ya jenerali. Click to expand... Nini mbaya hapa? Please be clear as much as possible. Kwani Jenerali iko na shida gani kumiliki shule? I don't see the issue coming out clearly here.