Mwalimu: 'Jiko' Lililotelekezwa

Mwalimu: 'Jiko' Lililotelekezwa

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
Mwalimu ndiye 'Jiko' la kupikia na kupakua Wasomi, lakini kwa bahati mbaya amegeuzwa 'Jalala' la kutunzia takataka na kutemewa mate na waliopita mikononi mwake.

Uongozi wa juu kabisa wa Awamu hii unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waliowahi kuwa walimu, lakini 'kutemewa' mate ndio 'mafao' ya kada hii adhimu duniani.
 
Back
Top Bottom