Mwalimu huyu wa lugha ni balaa

Mwalimu huyu wa lugha ni balaa

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,348
876866121.jpeg
Wataalamu wa lugha ya Kiswahili njoon huku mtujuze kuhusu hiyo ISTILAHI "KIFYONZEO" maana mie nimebaki kizani
 
Nadhani ni mrija wa kunywia mfano juice maana flash ni kinyonyeo au kinyonyo
Kifyonzeo linatokana ña neno Fyonza wengine husema fyonya , kwa hiyo hapo anaamanisha kitu mbadala kitumikacho kufyonza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom