tuambie wewe kazi yako na shule yako ndo tuchangie vema, na kama ingekuwa hivyo maprof ndo wangekuwa matajiri nchi nzimaMigomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi? Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao? binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6. Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi? Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao? binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6. Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.
tuambie wewe kazi yako na shule yako ndo tuchangie vema, na kama ingekuwa hivyo maprof ndo wangekuwa matajiri nchi nzima
acha kuropoka, ficha upumbavu wako.
Kama sio walimu usingejua hata kuandika huo ***** wako.
Kama sio walimu hao madokta wasingepata hizo div one,
kama sio walimu......
Naishi hapo.
kavulata pole sana kwa mashambulizi unayopata kutoka kwa wachangiaji wa uzi wako. Kwa maoni yangu ni kwamba walipaswa kujikita kujadili hoja (kama ipo) ili wajipambanue bara bara kama great thinkers. Ila kwa upande wangu uzi wako sitashughulika nao kwa sababu mbili:Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi? Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao? binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6. Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.