kazimia[/QUOT
na hadith ikaishaje..?
Underline hapo above.
halafu nikisha underline ndio itakuwaje?
....ndo mana mpaka leo bado tunaishi maana Mwl aliharalisha kuoana kwetu.
Kijino hv laazizi wako ni nani humu CC?
Mbona msiri sana wewe?
Tupe data.
2lia wewe, unataka nimtaje halafu ninyang'anywe? Au kama nimeiba wa mtu, kiufupi sina laazizi humu cc, mana nna wivu sana, 2taja dundana kila cku humu
Hahahaha lakini ume sahau kitu hapo huyo mwalimu alitutoa nje lakini ikumbukwe kwamba tulirudi darasani kama kawaida siku iliyo fuata.