Kajamaa ni kakilaza mnooNilisoma notes zake za Modern Physics,kalipua hatari
Mkuu unamsema vibaya tu..ila Moddy Physics ni mwishooo...Pamphlet za moddy huwezi kuzielewa kama hujasoma kwake...ila ukihudhuria pindi lake anaongea na kuandika vitu vingi mnooKajamaa ni kakilaza mnoo
Kuna dogo alinionyesha parmhlets zake... Wayback nko mwaka wa tano
Nikashangaa sana hawa watoto wanasomaje ani
Yanai vuluvuluuu
Moddy hauzi pamphlet ba huwezi muelewa kama ulikuwa unangoja notes zake ndo usome...yule ukihudhuria lecture yake yani hutakaa uhangaike...yani ye anakupa concept za physics kiasi kwamba hunahaja ya kusolve maswali mengi kama MgoteNilisoma notes zake za Modern Physics,kalipua hatari
Mimi sio mwalimu, mimi ni Mfamasia ila nimemkumbuka shujaa wangu....Nakuona moody Physics ukijipigia upatu......inshort jamaa ni mweupe(shallow),mzurumat hamalizi topics,Kazi kutongoza vitoto vya kike wanaomuelewa wengi ni PCB ambao Physics huwasumbua.
Kwanini usielewe pamphlet lake??.physics ni moja haijawahi kubadilika..sema yeye kapresent shallow sanaModdy hauzi pamphlet ba huwezi muelewa kama ulikuwa unangoja notes zake ndo usome...yule ukihudhuria lecture yake yani hutakaa uhangaike...yani ye anakupa concept za physics kiasi kwamba hunahaja ya kusolve maswali mengi kama Mgote
Mkuu unamsema vibaya tu..ila Moddy Physics ni mwishooo...Pamphlet za moddy huwezi kuzielewa kama hujasoma kwake...ila ukihudhuria pindi lake anaongea na kuandika vitu vingi mnoo
Ndomana huwa hauzi pamphlet labda huyo mdogo wako aliomba kwa mtu na akatoa copy.......Moddy ni mtaalamu kurelease material hakuna mfano
Mkuu mimi mwenyewe nilipiga chini haya mapamphet uchwara nikawa nasoma notes zangu na vitabu tu(Chand,Nelkon,Roger,UP n.k)Few teachers knows physics in tz
I noticed one called elias kihombo......
And my young cant use those pamphlets for his exams... That was just a young man i found him somewhere reading those rubbish physics... Et mtu anaaita mgote physics
Rubbish !
Wanaacha kusoma vitabu wanasoma pamphlets hawa watoto bhanaMkuu mimi mwenyewe nilipiga chini haya mapamphet uchwara nikawa nasoma notes zangu na vitabu tu(Chand,Nelkon,Roger,UP n.k)
Eti "Mgote physics"..[emoji23][emoji23]
Kama huyo mgote ndo taka taka kabisa anii....Mkuu mimi mwenyewe nilipiga chini haya mapamphet uchwara nikawa nasoma notes zangu na vitabu tu(Chand,Nelkon,Roger,UP n.k)
Eti "Mgote physics"..[emoji23][emoji23]
Mgote hajui physics bali anakukaririsha physics......mimi baada ya kumsikiliza moddy kila kitabu nikikishika kilikuwa swadakta kwa zili concept alizonipaMkuu mimi mwenyewe nilipiga chini haya mapamphet uchwara nikawa nasoma notes zangu na vitabu tu(Chand,Nelkon,Roger,UP n.k)
Eti "Mgote physics"..[emoji23][emoji23]
Mbona hiyo nelkon unairudia rudia sana au ndo ulikaririshwa mkuu,,Nelkon,AC PHYSICS,Roger muncaster,Nelkon