Duh! huko ni kuwaendekeza mkuu kuwaogopa ni kufuga ugonjwaWanakuwa wapumbavu yaani kuua kwao ni kawaida tu.
Nilikuwa maeneo hayo hivi karibuni mpaka sasa wameua watu wawili, wanaharibu pikipiki na kupiga watu.Sio kweli, nathani kuna tatizo mwaka huu. Haijawahi kutokea katika historia ya tohara, huenda Wazee wanaowandaa vijana kisaikolojia kwa ajili ya tohara na kuingia kwenyu umri wa utu uzima, hawajafanya kazi yao. Aidha, kuhusu huyo Mwalimu, inategemeana aliwaambia nini hao vijana, labda ni mwalimu wao na aliwauliza kwa nini hawajaenda shule siku hiyo. Maana vijana huanza maandalizi ya tohara wakati shule hazijafungwa, hivyo wakati mwingine wakikutana na walimu huwa wanawahoji kwa nini hawaendi shule.
Mwalimu akihoji anachomwa mkuki?Sio kweli, nathani kuna tatizo mwaka huu. Haijawahi kutokea katika historia ya tohara, huenda Wazee wanaowandaa vijana kisaikolojia kwa ajili ya tohara na kuingia kwenyu umri wa utu uzima, hawajafanya kazi yao. Aidha, kuhusu huyo Mwalimu, inategemeana aliwaambia nini hao vijana, labda ni mwalimu wao na aliwauliza kwa nini hawajaenda shule siku hiyo. Maana vijana huanza maandalizi ya tohara wakati shule hazijafungwa, hivyo wakati mwingine wakikutana na walimu huwa wanawahoji kwa nini hawaendi shule.
Unaweza kuwa umekuwepo siku za hivi karibuni, lakini huwezi kufahamu kuliko wenyeji wa hapo. Kumbuka kuwa eneo hilo ni kubwa; na vijana wanaojiandaa kwa tohara ni wengine, je ni wote wanafanya hizo fujo ?Nilikuwa maeneo hayo hivi karibuni mpaka sasa wameua watu wawili, wanaharibu pikipiki na kupiga watu.
Unatafuta ugonvi na chadema Mkuu. Serikali imekosea sema hivyo upate likes za chademaHalafu wanaharakati uchwara wanapinga adhabu ya kifo,ningelikuwa raisi ningesaini bila kupepesa jicho.
Mnauaje mwalimu kijinga hivyo,wanyongwe tu iwe fundisho kwa wajinga wengine kama wao.
Wahukumiwe na wawataje wenzao wapate haki yaoMwalimu aliyefahamika kama Sospeter Ogo wa shule ya sekondari Itiryo iliyopo wilaya ya Tarime tarafa ya ingwe, ameuawa kikatili kwa kuchomwa mkuki shingoni na vijana wanaojiandaa na tohara.
Marehemu ameuawa mida ya saa 1 asubuhi akitoka kuwasindikiza wenzake waliokuwa wanaenda kusimamia mtihani shule jirani ya Bungurere, ndipo vijana hao walipomsimamisha wakimtaka awape hela na aliposema hana wakamchoma mkuki shingoni na kufariki pale pale.
Vijana hao wanaojiandaa na tohara ambao wamekuwa wakitembea na mikuki na sime wamekuwa tishio katika eneo hilo, kwani wamekuwa wakiomba pesa kwa nguvu toka kwa bodaboda na watu wengine na endapo huna basi unapigwa au kuharibiwa pikipiki yako.
Hata hivyo jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa mauaji hayo.
yani kama ni mimi polisi watu kama hao inabidi unammwaga mmoja wao ubongo wenzake wakishuhudia...yani unammiminia nyingi zakutosha...utetezi ni kwamba alijaribu kutorokaHalafu wanaharakati uchwara wanapinga adhabu ya kifo,ningelikuwa raisi ningesaini bila kupepesa jicho.
Mnauaje mwalimu kijinga hivyo,wanyongwe tu iwe fundisho kwa wajinga wengine kama wao.