Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,773
- 16,911
Dunia wapi huku twaenda?Tetesi ni kwamba ni kisasi.Unaambiwa Baba Wa marehemu mwalimu alimgonga Kwa bahati mbaya mtoto mdogo aliyekuwa akicheza nje ya geti huko mbeya.Pamoja na juhudi zake kusaidia matibabu ya mtoto bahati mbaya mtoto alifariki.Sasa Inasadikika ili kulipiza kisasi ndo akatafutwa mtoto wa aliyegonga wakamteka na kumpa sumu wakiwa naye kwny gari kuelekea Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app