Mwalimu alisema haya , wewe unasemaje?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Quote

Man can only liberate himself or develop himself. He cannot be liberated or developed by another. For Man makes himself. It is his ability to act deliberately, for a self-determined purpose, which distinguishes him from the other animals. The expansion of his own consciousness, and therefore of his power over himself, his environment, and his society, must therefore ultimately be what we mean by development
 
“God, that all-powerful Creator of nature and architect of the world, has impressed man with no character so proper to distinguish him from other animals, as by the faculty of speech.”

Marcus Fabius Quintilian quotes
 
From:Re: Petition: Bunge lipitie na kuchunguza Mikataba yote!
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9765

mpanda merikebu

Ningeshauri serikali isitishe mipango ya kuweka mikataba mipya effectively ili sheria mpya itungwe yenye kuhakikisha kuwa maslahi ya Taifa yanapatikana kwanza. Kisha, mikataba iliyopitishwa ichunguzwe upya, itenguliwe na kisha kuandika upya.

Sioni kwanini viongozi wa serikali wanakubali kupitisha mikataba ambayo haina at least 50% ya faida inabakia Tanzania. Hata kama hawa Barrick na makabaila wengine watatengeneza barabara au kujenga hospitali nk, hiyo wafanye kwa hiari yao wenyewe, cha msingi ni kuwa serikali inapata walau nusu ya kile kilichovunwa.

Tuliambiwa kuwa adui wa maendeleo ni umasikini, ujinga na maradhi. Evidently wakati huo ufisadi ulikuwa haujagunduliwa! Ufisadi huu wa 10% kwa viongozi ndio unaotumaliza kuliko ujinga, umasikini na pengine maradhi!

Mpanda merikebu:

Kiukweli kabisa,..I found your view very validy. Ningepeda kusisitiza concept ya "SEED MONEY" Jirani yalo mwenye shida ya chakula hutumii tatizo hilo kumtawala na kumshuhia heshima. Haumpi chakuala ili umtawela na Kumnyayasa.

Unampa "MBEGU"..akatoe jasho lake kondeni alime ..akavune na msimu ujao arudishe "MBEGU". Hivyo sio kumtawala na Kumshushia hadhi kama ungempa chakula .... na kisha kikimalizika ..anomba tena....that is not good enough. NCHI KWA NCHI TUNGEPEANA MBEGU. Mavuno sio ya mtoa mbegu..ila na ya mtoa jasho shambani..HUU NDIO USAWA NA UTU. Hata kama mtoa mbegu atahitaji alipwe faida kidogo....ni sawa lakini akijua na kuheshimu kuwa mavuno sio yake..na atalipwa kwa namna isiyomfanya kutawala mavuno kwani NI KWELI KUWA sio yake...!!Hata kama Ni madini ya buzwagi.

Hela yote ya msaada inayoingia Tz iwe sio ya kutufanya tutawaliwe,tunyanyaswe,kuonewa na waliotupa msaada..Ni mbegu tu..!!Its just a seed money. Tuna nguvu akili na jasho letu wenyewe to work hard..mpaka kurudushi SEED MONEY.

"Seed money"
..Hata kama ni kuchimba madini...sio yao..watumpe mbegu..Technology transafer..Education seed ..etc wakimaliza waondoke ..au kitu kama hicho..na hatuwezi kuwachia wadhani madini ni yao au wayatawale..watupe seed money au seed techmology..etc tuwalipe na kamwe hatuwezi kulipana nusu kwa nusu ..kwani hiyo haitafanya waone kuwa madini siyo yao..Lazima iwe below 50% kwao ili kuonesha nguvu ya mwenya mali. Naogelea utu na ubinaadamu kwnye contracts

Huo ndio usawa, heshima, haki, utu..ubinaadamu..etc. Kama mwekezaji hataki hivyo..arudi kwao...!!!

Mali au rasilimali ya taifa ni ya tanzania na watanzania....na wakati wote wa mkataba ..hilo liwe wazi na liheshimike.hata kwa vizazi vijavyo.

Sawa hatuwezi kufanya biashara kama kisiwa..tunahitaji kushirikiaana....etc but katika mahusiano ya MBEGU..SEED MONEY..SEED TECHNOLOGY, SEED EDUCATION,SEED SKILLS ETC. hii itatufanya watanzania Tuwe makini kwenye kutoa jasho letu na kuwa wachapakazi..kwani Mbegu ukiifanyia mzaha..huvuni. Ninarejea hili kama msingi wa SIASA YA KUJITEGEMEA kama mambavyo Liko kwenye katiba ya muugano taifa tanzania.Mungu ibariki Tz
 
From:Re: “Wafadhili wa Kimataifa = Mafisadi Wakubwa”:: Kuliko Mafisadi waliondani ya nchi
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9722

MADELA WA- MADILU
Kwanza:.... Wafadhili wa nje wanatoa fedha wengi kwa nia njema, nia njema pekee haisadii kama sisi wapokeaji tumejaa mawazo yenye nia ya kujinufaisha katika ubinafsi wetu.

Pili:.....Sisi watanzania hatuko tayari kusema ukweli kwamba, wengi wetu kama siyo wote tumejaa mawazo ya wizi kwa mfano wa wizi alio ufanya MH Former PM Lowassa.Tunaiba kwa sababu tunadhani kuna kundi la watu waitwao wafadhili ambao kazi yao ni kujazia pengo tulilo liacha kwa wizi.

Tatu:......Wafadili wa kimataifa hawana uwezo wa kufanya ufisadi Tanzania bila sisi Watanzania wenyewe kuwaruhusu kwa moyo mmoja kufanya hivyo.

Nimevutiwa zaidi na vipengele vitatu!

Kwanza: Nia njema yao tunaiharibu sisi wenyewe, nakubalina kabisa kuwa hapa tatizo ni la kwetu. Nilifikiri wangetakiwa wawe na nia njema iliyozidi hiyo kwa Vipi? Waone upuzi wetu na hivyo wasiiedelee kuwapa wapuuzi misaada. Swali kwani nini uwepe wapuuzi na wabinafsi Misaada huku ukijua fika ni wabinafsi, waharibifu nk? Kama sio kuwa unataka kuwakamua kifisadi? Nia njema ya kweli an kubwa kuliko hiyo unayosema ingekuwa ni kuwakatia na kuwanyima miasaada;Kwangu hiyo ndio nia njeama na sio kuendelea kutupumbaza kwa faida yao!!

Pili: Tunaiba na kutawanya hivyo maana wafadhilili watatupa zaidi na zaidi..The same argument kama wafadhili wanajua tunafikra za kijinga namnahiyo na wanania njema sana na sisi..wangetunyima misaada tu maana tunafikra za kijinga..kama wao sio mafisadi wanatupa miasaada ya nini ..kama sio kutonyonaya ndani ya ujinga wetu? Ili nisiwaite mafisadi watunyime Misaada.Kwani wakitunyima Nini kitatokea? Tuzidi kuwa wajinga au Kuna uwezekano wa kumaka. Na kama kuna uwezekano wa kuamaka na wao wanajua..Ni dhahiri hawataki tuamke ndio maana hawataupuka kuitwa mafisadi kamili.

Tatu: Hawawezi kufanya ufisadi wa kimataifa bila sisi kuwaruhusu. That is right na hata wao wanjua hivyo. Kama wanajua kuwa sisi ni majuha na bado wanatumia ujuha wetu kututumia kutekeleza ufisadi wao ..mimi nachagua kuita kitendo hicho ufisadi. Naningependa watanzania wajue wanaonekana hivyo,wanafaa kutumika, haweheshimiki, wanachezewa na hivyo waamke kwenye unyonge huo!!Lakini hao wanajua udhaifu wetu na kuutumia huku wakisema wana nia njema na sisi..Sioni kwanini waisitwe mafisadi.

Kama Tunajeuri ya kupingana na Ufisadi Ni rahisi tu! Tuungane nchi nzima tuwaeleze waelewe kuwa tunawaita Mafisadi. Unajua kwanini tunaogopa sisi na viongozi wetu kuona kama ninavyoonyesha na kwanini hakuna wa kufungua mdomo, Hata rais na kuwaeleza ukweli? Sisi ni wanyoge Tumeganda fikra na maono,hatuwezi kuishi bila kuuedekeza ufisadi wao. tunajifanya sio ufisadi, tunarembesha sauti na sentensi tusije kuharibu mahusiano haya ya kifisadi.. Wamefanikiwa kutufanya SOKO!!
 
From:Re: “Wafadhili wa Kimataifa = Mafisadi Wakubwa”:: Kuliko Mafisadi waliondani ya nchi
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9722Nimevutiwa zaidi na vipengele vitatu!

Kwanza: Nia njema yao tunaiharibu sisi wenyewe, nakubalina kabisa kuwa hapa tatizo ni la kwetu. Nilifikiri wangetakiwa wawe na nia njema iliyozidi hiyo kwa Vipi? Waone upuzi wetu na hivyo wasiiedelee kuwapa wapuuzi misaada. Swali kwani nini uwepe wapuuzi na wabinafsi Misaada huku ukijua fika ni wabinafsi, waharibifu nk? Kama sio kuwa unataka kuwakamua kifisadi? Nia njema ya kweli an kubwa kuliko hiyo unayosema ingekuwa ni kuwakatia na kuwanyima miasaada;Kwangu hiyo ndio nia njeama na sio kuendelea kutupumbaza kwa faida yao!!

Pili: Tunaiba na kutawanya hivyo maana wafadhilili watatupa zaidi na zaidi..The same argument kama wafadhili wanajua tunafikra za kijinga namnahiyo na wanania njema sana na sisi..wangetunyima misaada tu maana tunafikra za kijinga..kama wao sio mafisadi wanatupa miasaada ya nini ..kama sio kutonyonaya ndani ya ujinga wetu? Ili nisiwaite mafisadi watunyime Misaada.Kwani wakitunyima Nini kitatokea? Tuzidi kuwa wajinga au Kuna uwezekano wa kumaka. Na kama kuna uwezekano wa kuamaka na wao wanajua..Ni dhahiri hawataki tuamke ndio maana hawataupuka kuitwa mafisadi kamili.

Tatu: Hawawezi kufanya ufisadi wa kimataifa bila sisi kuwaruhusu. That is right na hata wao wanjua hivyo. Kama wanajua kuwa sisi ni majuha na bado wanatumia ujuha wetu kututumia kutekeleza ufisadi wao ..mimi nachagua kuita kitendo hicho ufisadi. Naningependa watanzania wajue wanaonekana hivyo,wanafaa kutumika, haweheshimiki, wanachezewa na hivyo waamke kwenye unyonge huo!!Lakini hao wanajua udhaifu wetu na kuutumia huku wakisema wana nia njema na sisi..Sioni kwanini waisitwe mafisadi.

Kama Tunajeuri ya kupingana na Ufisadi Ni rahisi tu! Tuungane nchi nzima tuwaeleze waelewe kuwa tunawaita Mafisadi. Unajua kwanini tunaogopa sisi na viongozi wetu kuona kama ninavyoonyesha na kwanini hakuna wa kufungua mdomo, Hata rais na kuwaeleza ukweli? Sisi ni wanyoge Tumeganda fikra na maono,hatuwezi kuishi bila kuuedekeza ufisadi wao. tunajifanya sio ufisadi, tunarembesha sauti na sentensi tusije kuharibu mahusiano haya ya kifisadi.. Wamefanikiwa kutufanya SOKO!!any connection to this quote ?
 
""Man can only liberate himself or develop himself. He cannot be liberated or developed by another."""

Man can only liberate himself or develop himself. He cannot be liberated or developed by another.....Man will not libareated himself...through externaL donors. That is all what is my posting sir!!

Tizama kwa makini na kwa karibu swala zima la maedeleo tegemizi..Mwalimu hakuamini hivyo kabisa..and that si all what is the quote..

Ni kwa kuibiidiisha kupanua ufahamu..mtu binafsi..taifa binafsi..
...The expansion of his own consciousness, and therefore of his power over himself, his environment, and his society, must therefore ultimately be what we mean by development

Badala yake leo hii tuantegeema tunategemea sana WAFADHILI !!
 
Ndugu wana JF ni kweli mwalimu alikuwa among the best!
Lakini, Can we have our own ideas? tusitegemee sana maoni yake, mwenye alipenda tujitegemee!!
 
Zomba una habari kwambva soon JKN atatangazwa Mtakatifu ?

Si ndio maana yake, nimesoma mapope wenye damu tele mikononi mwao, nimesoma "mungu" mwenye kuruhusu kubakana, ndio kanisa hilo sioni ajabu.
 
Si ndio maana yake, nimesoma mapope wenye damu tele mikononi mwao, nimesoma "mungu" mwenye kuruhusu kubakana, ndio kanisa hilo sioni ajabu.

Una uhakika ndugu Zomba ?So Mwalimu hafai kuwa Mtakatifu ? Biblia inasemaje juu ya wadhambi ? Kristo hakuja kwa ajili ya watakatifu bali wadhambi .Mwalimu kama mtu alikuwa na makosa ya kibinadamu lakini si ufedhuli kama unavyo taka tuamini .
 
Uhakika katika lipi? sijakuelewa.

Kuhusu utakatifu, kama anafaa au hafai mimi sio mwamuzi, nadhani ni kanisa katoliki ndie mwamuzi wa hilo, na vigezo vyao sivijui kwa sasa, labda nivitafute kwenye mtandao ndio niweze kujibu. Ndio maana nikasema sioni ajbu kwani nimsoma kuhusu mapope wenye damu mikononi mwao na "mungu" ANAERUHUSU ubakaji.

Kuhusu kristo, ukiwa unamaana Yesu Kristo (Amani iwe juu yake), basi hapo tunatofautiana kiimani, kwani kwa imani yangu ya kiIslam najifunza kuwa Yesu Kristo (Amani iwe juu yake) alikuwa ni Mtume wa mwenyeezi Mungu na alikuja kufundisha mema na kukataza maovu.

Makosa si makosa tuu kaka, kumbuka "kufanya kosa ni kosa , kurudia kosa ni jinai" nyerere kayarudia makosa zaidi ya miaka mingapi sijuwi ya utawala wake, tena ya kutowa roho za watu, ni jinai ya hali ya juu. Laiti angekuwa ni fedhuli tu, nisingekuwa na la kumlaumu.
 
Back
Top Bottom