Songwe: Adaiwa kumbaka mwanawe

Songwe: Adaiwa kumbaka mwanawe

Boran Jakutay

Senior Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
110
Reaction score
261
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata Mkazi wa Ichenjezya Wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 15.

RPC wa Songwe, Theopista Mallya amesema Baba huyo alitaka kufanya tukio hilo usiku wa manane ambapo aliingia kwenye chumba anacholala Mtoto huyo ndipo Mtoto huyo alipopiga kelele na Mama yake aliposikia na kufika akamkuta Mumewe anatoka chumbani kwa Mtoto wao.

"Baada ya kuingia chumbani Mtoto alimwambia anaumwa lakini yeye akamlazimisha ndipo Mtoto alipiga kelele mpaka Mama yake alipotoka chumbani na kwenda chumba cha Mtoto huyo"

"Baada ya Mtoto huyo kuhojiwa amesema Baba huyo ambaye ni Mlinzi katika moja ya Shule amekuwa akimfanyia kitendo hicho Mtoto huyo mara kwa mara wakati akimpelekea chakula kwenye lindo"

RPC amesema taratibu za kumfikisha Baba huyo kwenye vyombo vya sheria zinaendelea huku akitoa wito kwa Watu wenye tabia za kufanya vitendo hivyo kuacha mara moja.

Chanzo: Millard Ayo
 
Tutafute hela!! Umasikini ni mbaya saana. Just imagine mzee anambakia mtoto wake kazini kwake. Siku hiyo sijui hakwenda lindo? Akaona haitoshi ngoja ambakie kwake.

Hivi watoto wanaosomea shule anayolinda wako salama kiasi gani?

Kama anaweza kumbaka mwanae wa kumzaa iweje wajuukuu zetu?

SWALI: KWAHIYO BINTI HUYU ASINGEKUA ANAUMWA MZEE ANGEMALIZA HAJA ZAKE KAMA WALIVYOZOEA?

TAFUTA HELA KWA NJIA YOYOTE. VITENDO VYA KINYAMA VINAFANYWA NA BINADAMU WENYE SHIDA KAMA WANYAMA
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata Mkazi wa Ichenjezya Wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 15...
Songwe kuna shida nakumbuka kuna tukio jingine kama hili lilitokea siku siyo nyingi
 
Tutafute hela!! Umasikini ni mbaya saana. Just imagine mzee anambakia mtoto wake kazini kwake. Siku hiyo sijui hakwenda lindo?? Akaona haitoshi ngoja ambakie kwake...
Sipingi mawazo yako Ila nachangia, tu, wapo wenye pesa wanafanya unyama unyamani, aijalishi kuwa na pesa au vipi, Kiligo wa Zanzibar alikuwa na pesa afisa wa tra, Ila ushenzi wake aliokuwa anafanya zenji? Umalaya umalaya tu, Yule dereva wa halmashauri ya kibaa mpaka kazaa na mtoto wake wa kumzaa.
 
Dah!!! Hapa tutasingizia raana
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata Mkazi wa Ichenjezya Wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 15.

RPC wa Songwe, Theopista Mallya amesema Baba huyo alitaka kufanya tukio hilo usiku wa manane ambapo aliingia kwenye chumba anacholala Mtoto huyo ndipo Mtoto huyo alipopiga kelele na Mama yake aliposikia na kufika akamkuta Mumewe anatoka chumbani kwa Mtoto wao.

"Baada ya kuingia chumbani Mtoto alimwambia anaumwa lakini yeye akamlazimisha ndipo Mtoto alipiga kelele mpaka Mama yake alipotoka chumbani na kwenda chumba cha Mtoto huyo"

"Baada ya Mtoto huyo kuhojiwa amesema Baba huyo ambaye ni Mlinzi katika moja ya Shule amekuwa akimfanyia kitendo hicho Mtoto huyo mara kwa mara wakati akimpelekea chakula kwenye lindo"

RPC amesema taratibu za kumfikisha Baba huyo kwenye vyombo vya sheria zinaendelea huku akitoa wito kwa Watu wenye tabia za kufanya vitendo hivyo kuacha mara moja.

Chanzo: Millard Ayo
du!!!
 
Watu nowadays hawana hofu ya Mungu kabisaa
 
Wamsamehe ila wamuhasi au.

Wamtoe hicho Kichwa kinacho mponza
 
Back
Top Bottom