MWALIM WA PHYSICS NA MATHEMATICS(COMPETENT) ANAHITAJIKA HARAKA SANA.

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,756
1. Nahitaji Mwalim wa Physics na Mathematics anayeweza kufundisha NECTA SYLLABUS Form 1-6 KWA UBORA WA HALI YA JUU NA AKAELEWEKA.

2. Vile vile nahitaji Fundi Umeme mwenye vyeti vya DIPLOMA AU CERTIFICATE (NACTE) AU VETA. NA EXPERIENCE YA KUFANYA KAZI Kwenye majengo marefu na umeme mkubwa.

Malipo bora na nono yapo.

NJOO PM KWA MAWASILIANO ZAIDI.
au tuma email: kibocommercialcomplex@vgk.co.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…