Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Habari za asubuhi!
Napenda kutoa mwaliko wa EID EL FITR marafiki na jamaa zangu, na members wote wa JF na MMU kwa ujumla, naomba msikose kuja! Pia ntatoa na zawadi za EID EL FITR, uje kwetu uchukue mapema kabla ya sikukuu, panda mabasi ya MBAGALA, shuka MBAGALA RANGI 3, kisha panda Hiace zinazokwenda Ikwiriri, waombe wakushushe KISEMVULE.
Kutoka hapo, kuna magari ya mkaa, yanayokwenda TUNDWISONGANI, omba lift na wasisitize wakushushe NJIAPANDA YA MALELA, ukifika hapo kuna kinjia kinaelekea kushoto, nenda nacho mpaka kwenye kimto, vuka mbele kwenye bonde la Mpunga, fuata njia ya kulia mbele kuna BOMA LA NG'OMBE, lipite mpaka kwenye kisima cha NDOO, ukikuta watu hapo waulize nyumba ya MAMA MBONI, ni ipi, watakuonyesha tu. Usikose kuja mpendwa, nipo huku navuna Mpunga!
kashesho miss neddy watu8 Blessed g click prospa michepuko naan ngik-kundie Foundation terasy Tarime one MJINI CHAI ZAMBI YANGU Mwana Lipa Kwanza Pritty wa joseph Freeland Mentor Munkari beb v Kanigini lin ram miss ngatara Kantangaze monanja Munkari Drama queen JEKI wisu tamuuuuu City hunter j 64gb The Boss muuza ubuyu mtvbase Honey Faith ICHANA Bulldog Denjo 1000GB
Dah nimechelewa maana mi naishi visiwani Boti ya mwisho imekwisha niacha basi mpaka Idi ijayo mtakaofanikisha kufika hongerah zenu a enjoy!