Pol Pot
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 983
- 487
Kwani leo ni Eid? mimi hata sielewi lolote kwenye redio kimya ila rafiki zangu Bin Slum na Salim Kikeke kwenye wall zao wametoa salam za Idd.
Thibitisha kama hawo uliowataja ni rafiki zako??????? Yaani kikeke au bin slum wawe rafiki zako???? kweli we ngomb'e... by the way naskia pengo ni chizi