Mwaliko

Mwaliko

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Habari za asubuhi!

Napenda kutoa mwaliko wa EID EL FITR marafiki na jamaa zangu, na members wote wa JF na MMU kwa ujumla, naomba msikose kuja! Pia ntatoa na zawadi za EID EL FITR, uje kwetu uchukue mapema kabla ya sikukuu, panda mabasi ya MBAGALA, shuka MBAGALA RANGI 3, kisha panda Hiace zinazokwenda Ikwiriri, waombe wakushushe KISEMVULE.

Kutoka hapo, kuna magari ya mkaa, yanayokwenda TUNDWISONGANI, omba lift na wasisitize wakushushe NJIAPANDA YA MALELA, ukifika hapo kuna kinjia kinaelekea kushoto, nenda nacho mpaka kwenye kimto, vuka mbele kwenye bonde la Mpunga, fuata njia ya kulia mbele kuna BOMA LA NG'OMBE, lipite mpaka kwenye kisima cha NDOO, ukikuta watu hapo waulize nyumba ya MAMA MBONI, ni ipi, watakuonyesha tu. Usikose kuja mpendwa, nipo huku navuna Mpunga!
kashesho miss neddy watu8 Blessed g click prospa michepuko naan ngik-kundie Foundation terasy Tarime one MJINI CHAI ZAMBI YANGU Mwana Lipa Kwanza Pritty wa joseph Freeland Mentor Munkari beb v Kanigini lin ram miss ngatara Kan’tangaze monanja Munkari Drama queen JEKI wisu tamuuuuu City hunter j 64gb The Boss muuza ubuyu mtvbase Honey Faith ICHANA Bulldog Denjo 1000GB
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi!

Napenda kutoa mwaliko wa EID EL FITR marafiki na jamaa zangu, na members wote wa JF na MMU kwa ujumla, naomba msikose kuja! Pia ntatoa na zawadi za EID EL FITR, uje kwetu uchukue mapema kabla ya sikukuu, panda mabasi ya MBAGALA, shuka MBAGALA RANGI 3, kisha panda Hiace zinazokwenda Ikwiriri, waombe wakushushe KISEMVULE.

Kutoka hapo, kuna magari ya mkaa, yanayokwenda TUNDWISONGANI, omba lift na wasisitize wakushushe NJIAPANDA YA MALELA, ukifika hapo kuna kinjia kinaelekea kushoto, nenda nacho mpaka kwenye kimto, vuka mbele kwenye bonde la Mpunga, fuata njia ya kulia mbele kuna BOMA LA NG'OMBE, lipite mpaka kwenye kisima cha NDOO, ukikuta watu hapo waulize nyumba ya MAMA MBONI, ni ipi, watakuonyesha tu. Usikose kuja mpendwa, nipo huku navuna Mpunga!
kashesho miss neddy watu8 Blessed g click prospa michepuko naan ngik-kundie Foundation terasy Tarime one MJINI CHAI ZAMBI YANGU Mwana Lipa Kwanza Pritty wa joseph Freeland Mentor Munkari beb v Kanigini lin ram miss ngatara Kan'tangaze monanja Munkari Drama queen JEKI wisu tamuuuuu City hunter j 64gb The Boss muuza ubuyu mtvbase Honey Faith ICHANA Bulldog Denjo 1000GB

Mkuu kote huko!!tunakuja kuaguliwa majini au ni zawadi za Idd tu?
 
Kwani leo ni Eid? mimi hata sielewi lolote kwenye redio kimya ila rafiki zangu Bin Slum na Salim Kikeke kwenye wall zao wametoa salam za Idd.
 
Duh..! Ngoja nijaribu kucheki kwenye ramani nikifanikiwa kupapata nitakuja kamanda.. Pamoja sana🐴🐴🐴🐗
 
Hiyo hatari sana atakayekuja huko ndo rafiki wa kweli
 
Duh..! Ngoja nijaribu kucheki kwenye ramani nikifanikiwa kupapata nitakuja kamanda.. Pamoja sana

Mkuu 1000GB uskose bhana
 
Last edited by a moderator:
kwa gharamaa ntakayotumia hapo boraa hiooo pesa ya naulii nikanunua chakula nipeleke kwa mchepukooo anpikie tukila tipige story haha
 
slim5, nije leo au kesho? manake hata sielewi mwenzio

Habari za asubuhi!

Napenda kutoa mwaliko wa EID EL FITR marafiki na jamaa zangu, na members wote wa JF na MMU kwa ujumla, naomba msikose kuja! Pia ntatoa na zawadi za EID EL FITR, uje kwetu uchukue mapema kabla ya sikukuu, panda mabasi ya MBAGALA, shuka MBAGALA RANGI 3, kisha panda Hiace zinazokwenda Ikwiriri, waombe wakushushe KISEMVULE.

Kutoka hapo, kuna magari ya mkaa, yanayokwenda TUNDWISONGANI, omba lift na wasisitize wakushushe NJIAPANDA YA MALELA, ukifika hapo kuna kinjia kinaelekea kushoto, nenda nacho mpaka kwenye kimto, vuka mbele kwenye bonde la Mpunga, fuata njia ya kulia mbele kuna BOMA LA NG'OMBE, lipite mpaka kwenye kisima cha NDOO, ukikuta watu hapo waulize nyumba ya MAMA MBONI, ni ipi, watakuonyesha tu. Usikose kuja mpendwa, nipo huku navuna Mpunga!
kashesho miss neddy watu8 Blessed g click prospa michepuko naan ngik-kundie Foundation terasy Tarime one MJINI CHAI ZAMBI YANGU Mwana Lipa Kwanza Pritty wa joseph Freeland Mentor Munkari beb v Kanigini lin ram miss ngatara Kan'tangaze monanja Munkari Drama queen JEKI wisu tamuuuuu City hunter j 64gb The Boss muuza ubuyu mtvbase Honey Faith ICHANA Bulldog Denjo 1000GB
 
Last edited by a moderator:
kwa gharamaa ntakayotumia hapo boraa hiooo pesa ya naulii nikanunua chakula nipeleke kwa mchepukooo anpikie tukila tipige story haha

Mkuu Denjo si vibaya ukadumisha undugu wetu kwa gharama yyt ile iwayo! Michepuko sio deal
 
Last edited by a moderator:
Khaa, hapo kwenye kupanda gari la mkaa mkuu!? Hiyo zawadi yangu nakuomba umpe Elizabeth wetu wa Ubungo!!
 
khaaaa mbali kooote huko zawadi yenyewe ya nn???
ntavizia ubwabwa hapa msikitni na kwa mama aisha

nikishiba nirudi nlale huku nasoma jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom