Hata siyo mtongozo mkuu wangu. Nikubadilishana uzoefu wa maisha. BTW, hivi bado kuna watu wanatoa hela....!?Mtongozo siyo
Ungesema aijie
Pesa mpaka ungewakimbia
Teh
Hata wewe unakaribishwa.Ngoja warembo waje
Shukrani mkuuHata wewe unakaribishwa.
Sisi siyo watotoHata siyo mtongozo mkuu wangu. Nikubadilishana uzoefu wa maisha. BTW, hivi bado kuna watu wanatoa hela....!?
Sisi siyo watoto
Hehehe kwa nini
Ubague wanawake tena
Haitoshi awe mrembo
Wanaume ninashinda nao siku zote, leo ni special day kwa wadada warembo. Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, nauanza mwaka kwa aina yake. Tehe.
Teh
Ha ha ha haaaaaa,Mzee kibubu kimejaa nini!??