Baba V mie sijambo... Hayo maneno ya St. Paka Mweusi tutayajadili Jumatatu baada ya kuzoea ushindi wa Lema... Kwa sasa mie "NATAKA KULEWA" .......Mama Filipo hujambo, kuna maneno amenambia St. Paka Mweusi unayafahamu!!??
Baba V mie sijambo... Hayo maneno ya St. Paka Mweusi tutayajadili Jumatatu baada ya kuzoea ushindi wa Lema... Kwa sasa mie "NATAKA KULEWA" .......
Mhudumu ongeza nyingine.............
Naomba nije tulewe pamoja .....
Twende kazi!!! Mhudumu ongeza TIA MARIA
Baba V mie sijambo... Hayo maneno ya St. Paka Mweusi tutayajadili Jumatatu baada ya kuzoea ushindi wa Lema... Kwa sasa mie "NATAKA KULEWA" .......
Mhudumu ongeza nyingine.............
Nina shida na wewe!