Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
mkuu ngoja nipige ramli kwanza naweza kuunga tela
............:A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:
Hii ni lugha ya kabila jipya ambalo tumejianzishia member wa jamii forum. Karibu nawe pia<br />By kwamtoro<br />
Ahc Ahsura inin, utik ahc iwalam amon. awepana izubm elika ahsik iivam ekay ondi utik eweyney
<br />
<b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=31694" target="_blank">kwamtoro</a></b> hapo umeongea kirangi au kisandawe?
S.L.P 2655770 DSM
26/03/2013.
Ndg, Wadau wa ChitChat
YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg.yako wa karibu na ni Mtanzania halisi.
NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE SIKUKUU YA PASAKA,Nina uzoefu wa kula vizuri UBWABWA pasipo kudondosha hata punje kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Nina uwezo mkubwa sana ktk hili na nina HOTP0T maalum ya kuchukua vyakula vitakavyo bakia, sina aleji na chakula chochote. Wengi niliokula kwao wamenifurahia.
Nimetuma maombi mapema ili kukupunguzia gharama ya kualika wengine.
Natumaini utaniarifu mapema nije saa ngapi?
Wako mtiifu katika kula N. Mtei
Nishakuweka listini mkuu.
poa mkuuu nana mvua kama leo inataka kuhamia kwetu....
Tafadhali Jiwe Linaloishi kaa mbali na my Passion Lady kinyume na hapo kucha na meno yako ni mali ya spiner na koleo!
Sisi waislamu pasaka haituhusu jamani
Tafadhali Jiwe Linaloishi kaa mbali na my Passion Lady kinyume na hapo kucha na meno yako ni mali ya spiner na koleo!
baby wo nt!
jiwe hana shida!
m all your's swr!
bora mkuu uvitoe maana naona vinanikera, vitamu haviliwi kwa keno na hakuna vipele kucha za nini??