Mwaliko wa Pasaka

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
11,556
Reaction score
7,113
S.L.P 2655770 DSM
26/03/2013.
Ndg, Wadau wa ChitChat

YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA

Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg.yako wa karibu na ni Mtanzania halisi.
NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE SIKUKUU YA PASAKA,Nina uzoefu wa kula vizuri UBWABWA pasipo kudondosha hata punje kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Nina uwezo mkubwa sana ktk hili na nina HOTP0T maalum ya kuchukua vyakula vitakavyo bakia, sina aleji na chakula chochote. Wengi niliokula kwao wamenifurahia.
Nimetuma maombi mapema ili kukupunguzia gharama ya kualika wengine.

Natumaini utaniarifu mapema nije saa ngapi?

Wako mtiifu katika kula N. Mtei
 
teh teh!karibu kwangu
uje asbh kabisa coz kama ni bingwa
kwny kula na kupika pia utanisaidia mgeni!
 
Ahhahahhaha!!!!!! M naomba kwenye hyo barua yako uniongeze n mm tuwe wawil!!!!! Tutakulajeeeeee
 
Nami ngoja niandae kitani safiiii ikiambatana na vitendea kazi vifuatavyo:
Ndizi kwa ajili ubwabwa na kujazia sehemu za wazi tumboni.
Kipande cha samaki kwa ajili ugali.
Pilipili kwa mabadiliko yoyote.
Nzi kwa ajili ya kuonesha mwelekeo.
 
Kuna mtu kaninong'oneza hapa, kwamba ktk hivyo vigezo ulivyoanisha, kipo kimoja umekisahau, kwamba mualikaji asijisumbue ku'extravangancy ya kununua pilipili, unakuja na zako.
 
Nakuja jumapili alfajiri, kama mambo yenyewe mazuri ivyo
Karibu R-CHUGGA chali'angu.

Maisha yangu ya kibachela tutapika bwabwa tule mpaka tuvue mashati. Then twende tukapige mitungi na tukishakuwa bwax tukatafute midudu ya kupiga mikasi. Au vipi mwana?
 
Nicas Mtei karibu arachuga ubweche uko wa kutosha kabisa na kama unapenda yale mambo yako ya kumwaga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…