Elections 2010 Mwaliko kwa WANAJAMIIFORUM

MOJOKI,

uchaguzi wetu haukuwa na jazba wala matusi,

ila tu uchakachuaji ulikirithiri.

unasemaje?????????
 
Tuanaalika wanJF wate kufurahia ushindi wa JK na CCM kwa ujumla
baada ya kupewa ridhaa na watanzania

Karibuni wote tufurahia ushindi wetu na watanzania wote

Wakaotaka kuja NIPM

Siwezi kuja kupoteza muda wangu kushangilia USHINDI WA KIFISADI. Count me out.
Tuondolee uchoro hapa Kwenda kafurahie na hao MAFISI ,MAFISADI na MANYANG'AU wenzako.
 
Kuna milipuko ya magonjwa humu,ukianzia malaria sugu,huyu naye mwingine.Hatua za haraka na madhubuti za kuiokoa JF zinatakiwa.
 
hata kwa dawa hatuji ivi unajua tuna uchungu na nchi yetu.... alafu tufanye mambo ya ajaabu never ever

mzee gomezi
 
Tuanaalika wanJF wate kufurahia ushindi wa JK na CCM kwa ujumla
baada ya kupewa ridhaa na watanzania

Karibuni wote tufurahia ushindi wetu na watanzania wote

Wakaotaka kuja NIPM

Mtu mzima hoooooooooooooooooooooovyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sherehe zenyewe ndio kama hizi za mnuso mkuu wangu tafadhali maanake toka uswahilini hadi kwa hadi mashoga, ama kweli Ikulu mwaka huu imepata wenyewe....Bofya hapa
 
Kaalike ukoo wako nadhani wanatosheleza ukumbi kujaa na kumwagika.
 
Tuanaalika wanJF wate kufurahia ushindi wa JK na CCM kwa ujumla
baada ya kupewa ridhaa na watanzania

Karibuni wote tufurahia ushindi wetu na watanzania wote

Wakaotaka kuja NIPM
peleka hii kwenye thread ya mambo ya kikubwa. maana umetaka kutukanwa mwenywe. Namalizia kukuambia kwamba wazimu wako ni mbaya kuliko wa malaria sugu.

Hata m'buyu ulianza kama mchicha.................. tartiiiibu tumeshaondoa neno ......KWA KISHINDO............
...kisha tutaondoa neno .....USHINDI........
 
Back
Top Bottom