Lizzy ni wa FOREVER, Mwali wa majaribio
Lizzy.. Msaidie huyo baba matatizo yake kama unayamudu..
Nianzie wapi GeeCee?
Ngoja Mwali aje maana ndie mhusika mkuu.
Jamani we unaweza kuwa na ufahamu wa namna ya kurekebisha tatizo la Musimo Jr...
Namsahau tu ni bidada yupi aliyekuwa akimpa kampani..
Nimesema Lizzy is here to stay na Mwali ni wa majaribio coz nataka kubreak her heart
Nimesema Lizzy is here to stay na Mwali ni wa majaribio coz nataka kubreak her heart
Mambo? vipi tena? nimesoma thread ila sijaelewa elewa,Nimesema Lizzy is here to stay na Mwali ni wa majaribio coz nataka kubreak her heart
Lengo na madhumuni ya ujumbe huu ni kukutakia heri ya pasaka na kutaka kukwaambia kuwa nimefadhaishwa sana baada ya kugundua kuwa umefanya kweli vile ulivyosema utafanya juu yangu. Nimekuwa mdogo kiasi cha kuweza kupita chini ya upenyo wa mlango (nimefanya hivyo leo)
Waiteeee, waite. Mi hata sijaelewa ni kitu gani kinaendelea hapa.Ngoja niite familia nzima ije
Mwache tu, alisema ataweza kunifanya nimpende,Easy now bro..my flatmate is a kind-hearted lady.Acha hizo za kutaka kum-heart break.