Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Tuna kila sababu ya kumuenzi Mzee wetu Hayati Mwl JK Nyerere kwa mambo mengi kwa jinsi alivyotusadia kupata Uhuru sio Tanzania tu bali na Nchi zingine nyingi tu Africa
Mwl JK Nyerere ndio Kiongozi pekee mpka Ana staafu Urais hajajilimbikizia mali yoyote yeye au familia yake pamoja nafasi aliokuwa nayo kwa zaidi ya 23 madarakani
Mwl JK Nyerere ndio Kiongozi pekee Barani Africa baada ya kustaafu tu alienda kijijini kulima huku akiishi kwenye yake ya kawaida ambayo ni ya mkopo kupitia (THB)badae JKT kupitia Generali Rashid Makame ndio walienda kumuomba wamjengee nyumba yenye hadhi kiasi
Ilifikia mahala Mwl JK Nyerere alisema yupo tayari sie kuchelewa kupata Uhuru ili kuwsubiri na wenzetu
Tanzania ndio ilikuwa Kitovu cha mapambano kwa nchi zote zilizokuwa zinapigania kupata Uhuru
Angola,Msumbuji,Africa Kusini,Namibia Zimbabwe ni baadhi ya tu ya vielelezo ambao walipewa nafasi ya kuishi hapa pamoja na mafunzo yote
Kwahiyo sishangai kuona sehemu nyingi zikipewa heshima ya jina lake kwa maana ni Kiongozi wa kuigwa na mzalendo wa kweli kwenye medani zote
Alex Fredrick
Dar es salaam
+255 758 308494