Yule Jembe wa ile kamati iliyomvua ukuu Mmasai yamemkuta kwenye kujieleza kura za maoni za ubunge huko jimboni baada ya kuzomewa vibaya na watu waliohudhuria tukio hilo mpaka ikabidi asepe kwa aibu. Huku watu wakimuimba Fisadi!!Fisadi!!
Tumeambiwa waliokatwa CCM urais ni makapi........Mwakembe nae makapi tu kama Mwandosya na Jaji ramadhani na Pinda na Bilal na Lowassa..........Au vipi??!!acha ushabiki usio na maana mwakyembe jembe
Wenzako wanaleta matokeo ya kura za maoni, wewe unakazama kutuletea kelele za kuzomea.
Kuzomewa ni kawaida sana maana haiwezekani upendwe na watu wote.
Kesho ndo tutajua mbivu na mbichi.
Kyela needs new blood kuimalisha uchumi wake kwenye cocoa mawese mpunga na uvuvi
Yule Jembe wa ile kamati iliyomvua ukuu Mmasai yamemkuta kwenye kujieleza kura za maoni za ubunge huko jimboni baada ya kuzomewa vibaya na watu waliohudhuria tukio hilo mpaka ikabidi asepe kwa aibu. Huku watu wakimuimba Fisadi!!Fisadi!!
Walio mzomea wote vijana wa chadema bodaboda atapita tu yule japo hajawafanyia maendeleo
Walio mzomea wote vijana wa chadema bodaboda atapita tu yule japo hajawafanyia maendeleo