Nyinyi kina Mwa mwa mwa ni wabinafsi na wakabila kinyama pamoja na Wahaya bila kuwasahau Wachaga! Hamuwezi kufanyakazi na makabila mengine tofauti na nyinyi!
Unauwezo mdogo sana kufikiri unaposema sema mwakyembe alificha taarifa unamaana gani?maana tume ya mwakyembe ndiyo iliyopelekea mawaziri wanne kujiuzulu na akiwemo waziri mkuu lowasa ambaye ndiyo bosi wako,sasa unaposema mwakyembe kaficha taarifa ulitaka nani ajiuzulu zaidi ya waziri mkuu,hilo la kwanza la pili nije kwenye mada yako hvi unapo sema mwakyembe alificha taarifa ili kuiokoa serikali embu jaribu kukamilisha hyo sentensi maana haija kamilika na kama ulimsikia mwakyembe alisema hvyo na wenda alisema je alisema anaficha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali na nn?alificha taarifa kuiokoa serikali isiabike mbele za wananchi au alificha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali isiyumbe,embu tusaidie kumalizia kile alichokisema mwakyembe,na kama mwakyembe alisema aliamua kuficha baadhi ya taarifa za richmond ili kuiokoa serikali bila kumalizia Hiyo sentensi kuiokoa serikali na nn basi wenda alikua na maana nyingine zaidi kuliko hizi mnazozileta nyie na kuongeza maana zenu.kwa ufupi saga la richmond lilisha isha watu walishajiuzulu nimiaka saba sasa inaenda nane kuja huku jamiiforam na wimbo huohuo wa mwakyembe alisema hvi mara vile hauwezi kumshushia hadhi mwakyembe,mwakyembe aliifanya kazi ile kama mwenyekiti kwa weledi mkubwa mpka kupelekea waziri mkuu lowasa kumwandikia barua raisi ya kujiuzulu na raisi mwenyewe kama bosi wake akaiweka saini barua yake ya kujiuzulu kuthibitisha kweli lowasa alihusika kwenye kuibeba kampuni feki ya richmond
Polonium ni sumu kama bange tu haiishi haraka kichwani. Baada ya miaka saba ataacha usanii.Nimemsikia Mwakyembe kupitia ITV akiahidi kuwachukulia hatu viongozi waliotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi endapo atafanikiwa kuwa raisi wa nchii.
Huyu Mwakyembe ndie aliamua kutuficha baadhi ya taarifa za Richmond ili kuikoa serikali alafu leo hii anatuahidi kuwachukulia hatua watuhumiwa wa ufisadi,huu sio usanii?!
kama umri wako unakaribiana na mwakyembe, umefanya naye kazi kwa karibu na unamfahamu vizuri sana, basi ungekuwa makini katika kuchagua maneno ya kusema kwenye mitandao. Unless umepatwa na tatizo la akili. Ugua poleHa ha ha! Jee nikusaidie ili uweze kusema hicho utakacho kusema? Nina rika linalokaribiana na huyo Mwakyembe na nimewahi kufanya naye kazi kwa karibu hivyo ninamfahamu vyema.
Salary Slip
karibu sana jemedali mwingine,
1,magufuli
2,mwakyembe
3,makongoro
4,muhongo
chini ya list hii sipati picha jukwaa la kampaini litakanyolinashambuliwa na hoja za ukweli, wenye maswali yaandae naamini kila swali litajibiwa na kila mtu atakubali,lkn hii list ni mkobozi wa miimili 2.
1, urais -ushindi usioitaji nguvu nyingi na wa asubuhi,
2,watawasaidia wabunge wa ccm kurudi bungeni wangi
nje ya hapo ccm itabidi kutumia mguvu nyingi sana zisizokuwa na mmana wakati watu wa kuraisisha kazi hii wapo,
wewe MWENYEWE UNAOMBA UKU UNANGALIA NYUMA UNAONA AIBU KWA SASA EDO LWS ANARUDISHA PESA YETU SIS WALA HATUANGAIKI NAE ILA CHAMTEMAKUNI ATAKIONA THIS YEAR.Namba 5 ongeza Edward Ngoyai Lowassa.
wewe MWENYEWE UNAOMBA UKU UNANGALIA NYUMA UNAONA AIBU KWA SASA EDO LWS ANARUDISHA PESA YETU SIS WALA HATUANGAIKI NAE ILA CHAMTEMAKUNI ATAKIONA THIS YEAR.
Unauwezo mdogo sana kufikiri unaposema sema mwakyembe alificha taarifa unamaana gani?maana tume ya mwakyembe ndiyo iliyopelekea mawaziri wanne kujiuzulu na akiwemo waziri mkuu lowasa ambaye ndiyo bosi wako,sasa unaposema mwakyembe kaficha taarifa ulitaka nani ajiuzulu zaidi ya waziri mkuu,hilo la kwanza la pili nije kwenye mada yako hvi unapo sema mwakyembe alificha taarifa ili kuiokoa serikali embu jaribu kukamilisha hyo sentensi maana haija kamilika na kama ulimsikia mwakyembe alisema hvyo na wenda alisema je alisema anaficha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali na nn?alificha taarifa kuiokoa serikali isiabike mbele za wananchi au alificha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali isiyumbe,embu tusaidie kumalizia kile alichokisema mwakyembe,na kama mwakyembe alisema aliamua kuficha baadhi ya taarifa za richmond ili kuiokoa serikali bila kumalizia Hiyo sentensi kuiokoa serikali na nn basi wenda alikua na maana nyingine zaidi kuliko hizi mnazozileta nyie na kuongeza maana zenu.kwa ufupi saga la richmond lilisha isha watu walishajiuzulu nimiaka saba sasa inaenda nane kuja huku jamiiforam na wimbo huohuo wa mwakyembe alisema hvi mara vile hauwezi kumshushia hadhi mwakyembe,mwakyembe aliifanya kazi ile kama mwenyekiti kwa weledi mkubwa mpka kupelekea waziri mkuu lowasa kumwandikia barua raisi ya kujiuzulu na raisi mwenyewe kama bosi wake akaiweka saini barua yake ya kujiuzulu kuthibitisha kweli lowasa alihusika kwenye kuibeba kampuni feki ya richmond
Unauwezo mdogo sana kufikiri unaposema sema mwakyembe alificha taarifa unamaana gani?maana tume ya mwakyembe ndiyo iliyopelekea mawaziri wanne kujiuzulu na akiwemo waziri mkuu lowasa ambaye ndiyo bosi wako,sasa unaposema mwakyembe kaficha taarifa ulitaka nani ajiuzulu zaidi ya waziri mkuu,hilo la kwanza la pili nije kwenye mada yako hvi unapo sema mwakyembe alificha taarifa ili kuiokoa serikali embu jaribu kukamilisha hyo sentensi maana haija kamilika na kama ulimsikia mwakyembe alisema hvyo na wenda alisema je alisema anaficha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali na nn?alificha taarifa kuiokoa serikali isiabike mbele za wananchi au alificha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali isiyumbe,embu tusaidie kumalizia kile alichokisema mwakyembe,na kama mwakyembe alisema aliamua kuficha baadhi ya taarifa za richmond ili kuiokoa serikali bila kumalizia Hiyo sentensi kuiokoa serikali na nn basi wenda alikua na maana nyingine zaidi kuliko hizi mnazozileta nyie na kuongeza maana zenu.kwa ufupi saga la richmond lilisha isha watu walishajiuzulu nimiaka saba sasa inaenda nane kuja huku jamiiforam na wimbo huohuo wa mwakyembe alisema hvi mara vile hauwezi kumshushia hadhi mwakyembe,mwakyembe aliifanya kazi ile kama mwenyekiti kwa weledi mkubwa mpka kupelekea waziri mkuu lowasa kumwandikia barua raisi ya kujiuzulu na raisi mwenyewe kama bosi wake akaiweka saini barua yake ya kujiuzulu kuthibitisha kweli lowasa alihusika kwenye kuibeba kampuni feki ya richmond
Mwakyembe na mnyakyusa yoyote yule hawafai kupew nchi
kutoka kwenye account ya twitter ya Reginald MengiNimemsikia Mwakyembe kupitia ITV akiahidi kuwachukulia hatu viongozi waliotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi endapo atafanikiwa kuwa raisi wa nchii.
Huyu Mwakyembe ndie aliamua kutuficha baadhi ya taarifa za Richmond ili kuikoa serikali alafu leo hii anatuahidi kuwachukulia hatua watuhumiwa wa ufisadi,huu sio usanii?!
Mwakyembe nilikuwa namkubali sana, ata alivyo patwa na matatizo ya ngozi nilisononeshwa sana ila tokea alivyo sema kuwa akirudi salama toka India ataweka wazi kila kitu kutokana na ugonjwa wake na aliporudi hakufanya hivyo kwa kweli nilimwona waajabu.
Kibaya zaidi ni kwenye Bunge la Katiba nilisikia kuwa kwenye chapicho lake lililo mpatia PHD alikiri kuwa suluhisho la muungano wa Tanganyika na Zanzibar nikuwa na serikali tatu tu, kisha kwenye kupendekeza kwenye katiba pendekezwa akapendekeza mbili apo ndio nikamwona Waajabu kabisa.