Mwakyembe uwe na aibu!

Ningetambua rika lako ningesema kitu kizito,ila niishie kusema tu,una matatizo makubwa kwenye kichwa chako tangu ukiwa........
Ha ha ha! Jee nikusaidie ili uweze kusema hicho utakacho kusema? Nina rika linalokaribiana na huyo Mwakyembe na nimewahi kufanya naye kazi kwa karibu hivyo ninamfahamu vyema.
 
Kawashindwa Wale management wa tazara walomjengea nyumba kama hongo itakuwa urais hauwezi na wala hafiti kuwa kiongoz wa nchi hii
 
Ha ha ha! Jee nikusaidie ili uweze kusema hicho utakacho kusema? Nina rika linalokaribiana na huyo Mwakyembe na nimewahi kufanya naye kazi kwa karibu hivyo ninamfahamu vyema.

Umeboa sana kaka pamoja na umri wako mkubwa, kwamba kutumia media in mbinu za kizamani na ushamba! Nani sasa hatumii media? Pole nadhani kuna kindumbwe ndumbwe
 
Kwenye magazeti ya leo Mwakyembe amenukuliwa akisema ripoti yake ilikuwa ihaririwe na itolewe upya alafu wewe unasema hakuna kilichofichwa!!Tafuta magazeti ya leo uone alichosema.

Isitoshe, jinai inamalizwa na mahakama na wala si kienyeji kupitia Bunge.Muwe na aibu nyie watu!
 
Mwakyembe na mnyakyusa yoyote yule hawafai kupew nchi

What?
Kwa nn tusipewe nchi?Nakuhakikishia kuwa Kyela tunakwenda all the way na kutoa Rais wa 5 wa JMT

Dr Mwakyembe is our son,tumtetee na tumlinde
 
Hili ndio tatizo la hii nchi hivi ukiambiwa thibitisha mbele ya sheria unaweza. Acheni kuwa na akili ndogo hivyo! Na najua mnaweweseka na bado kachukua form dakikika za mwisho mmepaniki. Hakuna mtu msafi kama Dr waulize watu wanaomjua sio ww mbulula na viloba vyako kutoka kwa mamvi
 
Mwakyembe na mnyakyusa yoyote yule hawafai kupew nchi

Yaelekea huna tatizo na Mwakyembe binafsi bali kabila lake.
By the way wewe kabila gani? Kuna watu wanahitaji kutambika!
 
CC: Mwamikili
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe katupiga hela na mabewa feki halafu anatuletea ujuaji wa kitoto...tushamshitukia naye ni wale wale
 
What?
Kwa nn tusipewe nchi?Nakuhakikishia kuwa Kyela tunakwenda all the way na kutoa Rais wa 5 wa JMT

Dr Mwakyembe is our son,tumtetee na tumlinde

Nyinyi kina Mwa mwa mwa ni wabinafsi na wakabila kinyama pamoja na Wahaya bila kuwasahau Wachaga! Hamuwezi kufanyakazi na makabila mengine tofauti na nyinyi!
 
mwakyembe akiwa rais lazma saul wa landmark hotel awe wazir mana ni mtu wake wa karibu sana na ndiyo anampatia supoti sana
 
Mwakyembe nilikuwa namkubali sana, ata alivyo patwa na matatizo ya ngozi nilisononeshwa sana ila tokea alivyo sema kuwa akirudi salama toka India ataweka wazi kila kitu kutokana na ugonjwa wake na aliporudi hakufanya hivyo kwa kweli nilimwona waajabu.

Kibaya zaidi ni kwenye Bunge la Katiba nilisikia kuwa kwenye chapicho lake lililo mpatia PHD alikiri kuwa suluhisho la muungano wa Tanganyika na Zanzibar nikuwa na serikali tatu tu, kisha kwenye kupendekeza kwenye katiba pendekezwa akapendekeza mbili apo ndio nikamwona Waajabu kabisa.
 


Dkt.Harrison Mwakyembe ambaye udaktari aliupata baada ya kuandika kitabu cha utafiti kuhusu aina ya muungano wetu. Akiandika Serikali ya Shirikisho ndio suluhisho, yaani serikali ndogo Zanzibari, Serikali ndogo Tanganyika na Serikali ya Muungano.
Lakini katika bunge la katiba alinyamaa, wala hakuthubutu hata kugusia kitabu chake kilichompa udaktari hadi Jasiri, Jabali la kuchochea mabadiliko na kupandisha hisia TUNDU LISSU alipomuumbua.

Mtu anayeweza kuikana elimu yake HATUWEZI JAPO KUMFIKIRIA KUONGOZA NCHI YETU. Muda umefika kukiondoa chama cha CHENGE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…