Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,167
- 162,602
Unauwezo mdogo sana kufikiri unaposema sema mwakyembe alificha taarifa unamaana gani?maana tume ya mwakyembe ndiyo iliyopelekea mawaziri wanne kujiuzulu na akiwemo waziri mkuu lowasa ambaye ndiyo bosi wako,sasa unaposema mwakyembe kaficha taarifa ulitaka nani ajiuzulu zaidi ya waziri mkuu,hilo la kwanza la pili nije kwenye mada yako hvi unapo sema mwakyembe alificha taarifa ili kuiokoa serikali embu jaribu kukamilisha hyo sentensi maana haija kamilika na kama ulimsikia mwakyembe alisema hvyo na wenda alisema je alisema anaficha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali na nn?alificha taarifa kuiokoa serikali isiabike mbele za wananchi au alificha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali isiyumbe,embu tusaidie kumalizia kile alichokisema mwakyembe,na kama mwakyembe alisema aliamua kuficha baadhi ya taarifa za richmond ili kuiokoa serikali bila kumalizia Hiyo sentensi kuiokoa na nini wenda alikua na maana nyingine zaidi kuliko hizi mnazozileta nyie na kuongeza maana zenu.kwa ufupi saga la richmond lilisha isha watu walishajiuzulu nimiaka saba sasa inaenda nane kuja huku jamiiforam na wimbo huohuo wa mwakyembe alisema hvi mara vile hauwezi kumshushia hadhi mwakyembe,mwakyembe aliifanya kazi ile kama mwenyekiti kwa weledi mkubwa mpka kupelekea waziri mkuu lowasa kumwandikia barua raisi ya kujiuzulu na raisi mwenyewe kama bosi wake akaiweka saini barua yake ya kujiuzulu kuthibitisha kweli lowasa alihusika kwenye kuibeba kampuni feki ya richmond
Wewe humjui Mwakyembe.
Huyo ni Fisadi tu hana tofauti yoyote na mafisadi wengine.
Alipokuwa Waziri wa uchukuzi alikuwa ni mtu wa kuchukuwa pesa kutoka kwenye taasisi zilizo chini ya wizara husika.
Alimpatia Ngewe (ambaye ni rafiki yake wa Karibu) u DG wa SUMATRA. Na alikuwa kila wakati akimtumia Tumpe Mwaijande kuchukuwa Bahasha kutoka SuMATRA. TCAA, TPA, TRL kote huko alikuwa ni mtu wa kubeba bahasha tu kwa kutmia mpambe wake wa Karibu pale Wizarani. (Tumpe Mwaijande).
Bado ana mbinu za kizamani ya kutmia media aonekane anachapa kazi kumbe fisadi tu huyo[/QUOT.
Naona umekulia kwenye siasa za maji taka wacha nikupe elimu kidogo,unajua unapokuja na madai kama haya sijui mwakyembe alikusanya hela sumtra sijui TPA na blabla nyingine ,madai yako haya hayana nguvu yatabaki kuwa ni porojo za mpita njia zisizo na maana yoyote ukitaka kusema mambo kama haya lazima uweke na ushahidi.wacha nikupe mfano nitatumia sakata la bosi wako lowasa na richmonduli ,mimi binafsi naamini lowasa alihusika kwenye mchezo mchafu wa richmond ,sasa nikisema madai kama haya bila ushahidi inakua nachokisema ni porojo tupu sasa wacha niweke mstari mmoja wa ushahidi wangu ili kusapoti madai yangu,.katika ripoti ya kamati teule iliyo kuwa inaongozwa na mwakyembe sehemu ya ripoti hiyo ilisema hvi ,nanukuu msaidizi mkuu wa lowasa ,ole kuyan,kaatika barua yake kwenda kwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini anasema ,....."Endeleeni kusaini mkataba kati ya richmond na serikali ,maana waziri mkuu ,EDWAD LOWASA tayari ameridhika kwamba richmond ipewe mkataba. kutokana na mstari huo mmoja tu inasibitika bila shaka lowasa alishiriki katika kuibeba kampuni isiyo na uwezo ya richmond,na huo ni mfano mmoja tu nimekupa kukuelimisha jinsi ya kuandika tuhuma zako ili zionekane zina mashiko. lakini ukija humu jamiiforam na kutaja watu sijui mwakyembe sijui tumpe mwaijande unachofanya kinaonekana upuuzi kuliko upuuzi wenyewe,.natumaini umenielewa na naahidi kukupa ushirikiano katika kukuelimisha maana naamini ukielimika utaacha kutumika kichwa kichwa kama hivi
Mchumia tumbo tu huyo...
kapiga deal za ajabu pale uchukuzi na akina Mwaijande.....
Kyela wamemkataa anatafuta sympathy tu huyo...
wewe humjui mwakyembe.
Huyo ni fisadi tu hana tofauti yoyote na mafisadi wengine.
Alipokuwa waziri wa uchukuzi alikuwa ni mtu wa kuchukuwa pesa kutoka kwenye taasisi zilizo chini ya wizara husika.
Alimpatia ngewe (ambaye ni rafiki yake wa karibu) u dg wa sumatra. Na alikuwa kila wakati akimtumia tumpe mwaijande kuchukuwa bahasha kutoka sumatra. Tcaa, tpa, trl kote huko alikuwa ni mtu wa kubeba bahasha tu kwa kutmia mpambe wake wa karibu pale wizarani. (tumpe mwaijande).
Bado ana mbinu za kizamani ya kutmia media aonekane anachapa kazi kumbe fisadi tu huyo
Wabongo wanafiki sana. Wakati Mwakyembe anawindwa na kukoswakoswa na ajal za barabaran, hakuna hata mtu aliyejali. Mpaka amebabuliwa ngozi kama nyoka, bado wabongo hawana shukran. Mlitaka afanye nin? Wewe kama raia wa nchi hii umeifanyia nin Tanzania mpaka uone yeye hatoshi? Watu ambao hamjawah hata kupigwa kelbu kwa ajili ya nchi hii mfunge zipu za midomo.
Kuhusu wizara ya uchukuz na miundombinu, pale Mwakyembe ilikuwa ni lazima aondoke maana bandari ndo shamba la bibi la wanasiasa wa bongo. Kagame hakukosea kusema anaweza kuibadilisha bongo kwa kutumia bandari. Bila bandari, home shoppng wasingekuwa wanasumbua mjini.
Pia Mwakyembe alidhibiti upitishaj madawa uwanja wa ndege. Madawa ya kujevya ni ishu iliyomzid JK nguvu ndo maana pamoja na kuwa na majina ya wauzaji kaamua kukaa nayo kimya.
Naamin uamuz huu ulikuwa mgumu sana kwake na kwa familia yake na ndo maana akachelewa kuchukua fomu. Muungen mkono maana ndiye aliyewapa displine wakenya na KQ yao baada ya kuona wanaleta usanii kwenye utalii. Yaani wasione aibu kina Kigwa, Makamba, Migiro, Mbega na Wasira, aone Mwakyembe aliyebabuliwa na majiz wa taifa hili?
Wote hao ni mavuvuzela na yanataka majina yao yaingie kwenye vitabu vya historia ya chama chao kuwa walichukua fomu za kugombea mwaka huu. Hayo wasemayo ni nyimbo za maigizo tuu