zenmoster JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 951 Reaction score 203 Nov 11, 2012 #121 MNYISANZU said: Wewe ni lazima utakuwa mentally impaired. Hivi uozo wote uliokuwa umekithiri bandarini uliokuwa huuoni au ulikuwa unakufainisha?. Sasa mirija ya kifisadi imefungwa na Mwakyembe. Endelea kulalamika wakati Mwakyembe anasonga mbele. Click to expand... Jamaaa anasikitika ndo maana anamponda dr...anajua hana chake tena
MNYISANZU said: Wewe ni lazima utakuwa mentally impaired. Hivi uozo wote uliokuwa umekithiri bandarini uliokuwa huuoni au ulikuwa unakufainisha?. Sasa mirija ya kifisadi imefungwa na Mwakyembe. Endelea kulalamika wakati Mwakyembe anasonga mbele. Click to expand... Jamaaa anasikitika ndo maana anamponda dr...anajua hana chake tena