Kwani ukiomba kibali wizarani kuna tatizo gani?Kwani ofisini kwako hakuna maboss ambao hutoa amri?Kama unawatusi wafanyakazi wa wizara ni mbumbumbu je hapo ofisini kwako bandarini kupoje?Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
vipi mwakyembe kaziba mirija nini mkuu,alegeze masharti kidogo mboga iende kwa meza lol!!
Mmeiba vya kutosha acha awape changa moto kidogo
acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
wewe ni boya...tena kinabo,sasa umeng'ang'anizwa kufanya kazi?ukiona mambo magumu mirija yako ya wizi imekatika,achakazi iliwajue utujue tunao kugongea mkeo..ukurutu kweli wwAcha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.
Nia ya Dr. Mwakyembe ni nzuri japo kunaweza kukawa na intention nyingine nyuma yake maana hii ni tz.Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani wizarani atoe amri ndo tufanye kazi. Watu wanamshangilia huyu mtaka msifa, subirini mtakuja kuona.