Wewe wala si mpambanaj chochote wewe ni pambaf tu!
Nyie ndo MAKUWADI WA Rostam Aziz na Edward Lowassa na Kiwete.
You can not fool all the people all the time. Your days are numbered.
Hii nchi inaonekana ni ya mazezeta wa kutupa. Haiwezekani Umeme wa DOWANS/RICHMOND ndiyo iwe SOLUTION PEKE YAKE KWA UMEME WA TANZANIA. Nasema Haiwesekani Asilan.
- Kwanini tunaendeleza kung'ang'ania KUWASHA MITAMBO YA DOWANS????This is NONSENSE.
- MITAMBO YA DOWANS/RICHMOND ILIZIMWA TANGU 2008,INA MAANA BAADA YA KUZIMA MITAMBO HIYO SERIKALI ILIKUWA IMEBWETEKA TU BADALA YA KUTAFUATA UFUMBUZI WA KUDUMU WA TATIZO LA UMEME?
- WALISAHAU KUWA MTERA ITAKAUKA TENA UKITOKEA UKAME KAMA MWAKA HUU?
- KWANINI SWALA LA UMEME NCHI HII LINAKUWA NI LA DHARURA KILA MWAKA,KUNATATIZO GANI??
Nimeshangazwa sana na KAULI YA M/Kiti BOMU wa kamati ya Nishati na Madini Mhe.
Januari Makamba pamoja na Waziri kivuli wa Nishati na Madini toka KUB Mhe.Mnyika. Kwamba mitambo ya DOWANS iwashwa kwa kuikodisha hata kama ni miezi MITATU. Hii ni kuwasaliti Watanzania kuendelea kung'ang'ania KUTUMIA MITAMBO YA KITAPELI YA DOWANS. Je, HAKUNA SOLUTION MBADALA YA TATIZO LA MGAWO WA UMEME TANZANIA?????????????
Inasikitisha kuwa Tanzania HATUNA WAZIRI MAKINI WA NISHATI NA MADINI.Mhe.NGELEJA NI BOMU TENA LA KUTUPA NA MKONO. AMEBAKI KUPIGA DOMO TU BUNGENI HANA SOLUTION. TATIZO LA NCHI HII TUNAWAPA WANASIASA MADARAKA MAKUBWA KULIKO UWEZO WAO NA SIYO FANI(PROFESSION)ZAO. KILA SIKU ANASEMA KUNA MIPANGO YA MUDA MREFU/MFUPI NA RONGO RONGO KIBAO LAKINI HAKUNA OUTPUT YOYOTE. Uko wapi UMEME wa upepo tunaoambiwa upembuzi yakinifu ulishakamilika?NI SIASA TU.
Naomba KIWETE AMWONDOE NGELEJA KWENYE NAFASI HIYO NA WIZARA HIYO APEWE MBUNGE AMBAYE KITAALUMA NI MTU WA UMEME PERCE YAANI AWE AN ELECTRICAL ENGINEER BY PROFESSION TENA KWA KIWANGO CHA DOCTORATE(PhD.)AU MASTERS.