Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

Nchi ya maigizo hii.

Sijui kwanini sijawahi kumuelewa Mwakyembe toka asubuhi ile ya February 7 mwaka 2008

Na wala hutaweza kumuelewa Mwakyembe kwa sababu kumuelewa mtu huyu kunahitaji na wewe utimie vizuri kichwani kama alivyo yeye Dr Mwakyembe.Rudi darasani haraka.
 
" wanaweka kwenye sim tank na kutundikwa juu kana kwamba lina maji kumbe limejaa pesa..kuna mwingine yeye nyumbani kwake mahali anapopaki magari kwa chini amezika sim tank mbili na kisha kupaweka level juu zinapaki gari kumbe chini kafukia mabilioni ya hela..mwingine yeye nyumbani kwake ana chumba cha siri (underground room) anatumia chumba hicho kufichia pesa.."
We umeyajua vipi hayo..?
 
Kawaweka watu gani? Wataje basi. Mambo ya kusimuliwa...
 
Nchi ya maigizo hii.

Sijui kwanini sijawahi kumuelewa Mwakyembe toka asubuhi ile ya February 7 mwaka 2008

Nimi February 7 2008, nilimwelewa Dr Mwakyembe. Siku pekee ambayo sikumuelewa na sitamuamini tena ni pale alipoikana Thesis yake kwenye Bunge la Katiba. Tangu siku ile sikumuamini tena kile anachosimamia kama msomi mkubwa wa PhD ya Sheria. Afadhali angekaa kimya(ambapo ingeeleweka tu kwamba anaogopa ku-declare interest), lakini kwa kitendo cha utetezi wowote ambao bado ulikua unapingana na maudhui ya Thesis, nilishtuka sana!
 

Mwakyembe ni mnyakyusa, na wanyakyusa ni wakabila sana,,, sishangai kujaza wanyakyusa hapo
 

Tatizo la wengi wanaukumbi huu ni mashabiki sio wachunguzi.hao mawaziri uliowataja ni wasanii hupenda sifa lakini sio wachapakazi.na mpenda sifa hununua waandishi wa habari na wengine hulipwa kuchangia kwenye mitandao kwa kuwasifia
 

hahahaha hatari sana hii
 
Last edited by a moderator:


Hapana kuzunguka mbuyu ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa hawa wezi wote ilikuwa ni network ya mkweree; haikuwa bahati mbaya kwa yeye kumteua yule mama kuwa waziri wa fedha, it was designed kumuweka waziri wa fedha mwanamke weak ili mkweree aweze kuhomola fedha hazina kiurahisi!! Yule marehemu wa kihehe alikuwa anawawekea ngumu wakitaka kuiba ikabidi wamkolimbe!!!
 

Kwa kuongezea tu mkuu.

Mwambie THE BOSS uchaguzi ushaisha now tujenge nchi, hata kama Maguful hakuwa chaguo lake akubal tu ndo Rais.

Kitendo cha Bade kushindwa kujua Makontena yalyotoka ambapo kule TPA yameonekana ni 349 wakat yeye kasema 312.

Bado akawa anafanya uchunguzi uku wahusika wako kazini ili nikosa kubwa sanaaa.

Kasimamishwa atoe ushirikiano ila kwa vyovyote naye muhusika
 

Umenena mkuu...
 
Sasa walinzi wa TPA ndio kamishna wa TRA afukuzwe?
unaona ni busara?
Aliulizwa bwana Bade kama anajua hiyo issue akasema anajua lakini mpaka afuatilie, akapewa majina na orodha akaulizwa anajua hao watu na hiyo orodha akasema ndio walikuwa wanafuatilia, nadhani alionyesha udhaifu kwani kama alikuwa na hiyo list na watuhumiwa alitakiwa kuwa keshachukuwa hatua kwao ili aendelee na uchunguzi.
 
 
Tatizo la wengi wanaukumbi huu ni mashabiki sio wachunguzi.hao mawaziri uliowataja ni wasanii hupenda sifa lakini sio wachapakazi.na mpenda sifa hununua waandishi wa habari na wengine hulipwa kuchangia kwenye mitandao kwa kuwasifia

Mimi nilishasema humu kwa mtu makini huwezi kumsifia Sitta au Mwakyembe ni wanasiasa wanafiki wa kutupwa.
 

Achana naye huyo. Kila kitu cha Magufuli so far amebeza. Sijui alitaka Rais afanyeje! Au ili mradi ni wa CCM haoni jema.
 

Hahaha. Hiyo ni open secret.
 

Usichanganye bandari haikuhusika na upotevu wa makontena ni TRA
 
mwakyembe ni vema sasa akaachana na siasa , hali yake mbele ya macho ya jamii hairidhishi kabisa , angeandika Erythrocyte hapa angeibuka TRUVADA au Mgirik kusakama , haya sasa watu wengine wameyaona madudu yake !
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…