Edson,hivi angeenda akapanda treni kimya kimya, akafanya utafiti wake huko njian kimya kimya..kisha akakaa chini kimya kimya na kuanza kuchambua hizo findings zake kisha kuandika report au hata kusema kile alichokiona na nini anatarajia kufanya kuboresha au kudumaza asingeweza kufika huko dodoma?!!
Nakushukuru, nasubiri kuona matokeo. Ila kumbuka ninasukumwa na uzoefu wa vijisafari kama hivi kutokuwa na tija yoyote hasa katika kada ya viongozi wetu wa sasa, kuanzia kwa mheshimiwa Rais. Huyu amekuwa akizunguka wizara na idara nyingi za serikali matokeo yake amesababisha inefficience kubwa zaidi katika usimamizi wa serikali yetu.
Alikuwapo Lowasa, alifanya ziara nyingi na kutoa maelekezo na maamuzi ya papo kwa papo ambayo hatuoni mwangwi wake ukirindima mpaka sasa. Lowasa alikuwa akifuta leseni za mainginia kutokana na ujenzi mbovu wa maghorofa akiwa site, ujenzi wa maghorofa yenye viwangu vya chini ndio umeshamiri mara dufu sasa.
Huyu Mwakyembe huyu, majuzi kasema hajaenda Bandarini sababu bado anawapa muda wa kujipanga, how many times mr president went there? not less than three times since 2005, nini kimetokea? Nini Mwakyembe Jamani.
Both,Mwakyembe and CCM have to go kama kweli tunataka kuanza kuamini mategemeo ya ufanisi baada ya vijisafari vya namna hii kufanyika.
Nitasubiri Matokeo. Nashukuru.
Nilijuwa kuwa unaweza kuhoji hilo .... lakini si topic ya hii thread. Hata hivyo EN Lowasa ndivyo anavyoitwa. Ndani ya Bunge, vyombo vya habari na serikali. Sasa mimi sijatunga hilo. Mimi pia ninahoji kama wewe, lakini bado heshima hiyo anapewa na huwezi kumpokonya kwa sasa labda uende mahakamani.Sawa, Naomba kuweka record sawa. Lowasa hakustaafu, aliachia nafasi ya uwaziri mkuu ili ainusuru serikali (na hii ni kwa mujibu wa maneno yake), mpaka sasa bado watanzania wanachunguza aliinusuru serikali namna gani? lakini kuhusu hasa kilichotokea kuna mambo mengi yanazungumzwa wengine wanasema alifukuzwa, wengine alishurutishwa na wengine alihujumiwa, cha msingi ni kwamba namna alivyooachia nafasi ile hakuwezwi kufananishwa na kustaafu hata mara moja.
Mbona anafanya kazi kwa kutaka coverage kubwa sana ya media? anamaanisha nini
wenye malori unadhan wanataka kusikia abt rail???thubutuuuuu
mkuu naomba utoe hiyo avatar ina to lure tufikiri kwamba unabusara kumbe zero, mwakyembe hajafanya ziara kama za kina lowassa au kikwete yeye kajihusisha kabisa alitaka ayafeel matatizo kabisa. ni kama waziri wakilimo aamue kulima kwa jembe la mkono, ajitafutie mbolea na soko bila shaka atakuja na plan nzuri ya kumkomboa mkulima sasa we ni kubisha hata mtu afanyaje. please badilisha avatarNakushukuru, nasubiri kuona matokeo. Ila kumbuka ninasukumwa na uzoefu wa vijisafari kama hivi kutokuwa na tija yoyote hasa katika kada ya viongozi wetu wa sasa, kuanzia kwa mheshimiwa Rais. Huyu amekuwa akizunguka wizara na idara nyingi za serikali matokeo yake amesababisha inefficience kubwa zaidi katika usimamizi wa serikali yetu.
Alikuwapo Lowasa, alifanya ziara nyingi na kutoa maelekezo na maamuzi ya papo kwa papo ambayo hatuoni mwangwi wake ukirindima mpaka sasa. Lowasa alikuwa akifuta leseni za mainginia kutokana na ujenzi mbovu wa maghorofa akiwa site, ujenzi wa maghorofa yenye viwangu vya chini ndio umeshamiri mara dufu sasa.
Huyu Mwakyembe huyu, majuzi kasema hajaenda Bandarini sababu bado anawapa muda wa kujipanga, how many times mr president went there? not less than three times since 2005, nini kimetokea? Nini Mwakyembe Jamani.
Both,Mwakyembe and CCM have to go kama kweli tunataka kuanza kuamini mategemeo ya ufanisi baada ya vijisafari vya namna hii kufanyika.
Nitasubiri Matokeo. Nashukuru.
Nilijuwa kuwa unaweza kuhoji hilo .... lakini si topic ya hii thread. Hata hivyo EN Lowasa ndivyo anavyoitwa. Ndani ya Bunge, vyombo vya habari na serikali. Sasa mimi sijatunga hilo. Mimi pia ninahoji kama wewe, lakini bado heshima hiyo anapewa na huwezi kumpokonya kwa sasa labda uende mahakamani.
Edson,
Usisahau kuwa huyu ni kiongozi wa watu na siyo Prof wa Chuo Kikuu anayefanya kazi yake kimya kimya. Huyu ana watu wakingoja kuona, kusikia na kutiwa moyo kuwa matatizo yao yanashughulikiwa. Maneno ya kutia moyo yanahitajika sana na wa-Tz, lakini pia yakifuatiwa na vitendo vilivyobeba dhamira ya kweli kuwatumikia na kuwathamini.
Hata wewe ukiwa kiongozi watu watataka kukuona unavyotenda na unavyozungumza pia.. Halafu baada ya muda watapima maneno yako na matendo yako kama vinafanana.
Naomba tumpe nafasi kwanza hata kama tunachuki naye kwa sababu zozote zile ....
Sangarara, mimi nashangaa hii topic ni outlier ya main topi iliyopo hapa. Siwajibiki kumpa au kumnyang'anya heshima yake anayopewa na watu wengi au wachache. Na sijuwi ni sheria gani inayolazimisha apewe hiyo heshima. Lakini anapewa na watu, tena kila mara vyombo vya habari vinatangaza, na Bungeni pia wanampa, na serikalini pia wanampa...Wewe unawajibika kumpa heshima hiyo kwa mujibu wa sheria gani? Hii sio heshima ni upotoshaji wa wazi kabisa, ni moja ya namna lugha ya kiswahili inatumika vibaya kwa manufaa ya kisiasa. tuachane na haya. Ila ujue kwamba mategemeo yangu ya kuona ufanisi wa safari ya mwakyembe yanaanzia kwenye bajeti ya wizara yake atakayosoma uko dodoma. usidhani nitapoteza muda wangu kusubiri two years ili kuona matokeo. Hata kama budget zao haziaminiki na hazitekelezeki, lakini nitaitumia kama benchmark ya faida ya safari hiyo.
Inakuingia Akilini mwako kwamba Mtu ambaye amekuwa kiongozi katika serikali na mashirika yetu ya UMA kwa muda mrefu Kama mwakyembe analazimika kufanya safari ya namna hii ili kujifunza au kujionea mwenyewe ama matatizo ya usafiri wa treni au ya wananchi huko treni inakopita kama anavyoropoka huyu jamaa.
Maisha ya hao wananchi hao yanatofauti gani na yale ya wananchi wa Jimboni kwake Kyela? Majuzi alisema amepanda daladala kutoka mwenge kwenda tegeta na anadai kwamba tatizo pekee aliloliona na gharama kubwa ya nauli, matatizo ya wanaotumia usafiri wa daladala yanatofauti gani na wale wanaotumia treni?
Ni tatizo gani la usafiri wa treni mwakyembe amejifunza kupitia safari hiyo? alienda kuona kama kweli injini inazima zima? haya sasa siku hiyo haikuzima, kwa hiyo ametoka na picha gani hapo? kwamba habari za kuzima zima kwa injini za treni na hujuma za kishenzi zinazofanywa za kung'oa mataruma ya reli ni za uongo?
Give me a break.
mkuu naomba utoe hiyo avatar ina to lure tufikiri kwamba unabusara kumbe zero, mwakyembe hajafanya ziara kama za kina lowassa au kikwete yeye kajihusisha kabisa alitaka ayafeel matatizo kabisa. ni kama waziri wakilimo aamue kulima kwa jembe la mkono, ajitafutie mbolea na soko bila shaka atakuja na plan nzuri ya kumkomboa mkulima sasa we ni kubisha hata mtu afanyaje. please badilisha avatar
Kila research ina limitations ... narrowed down for the sake of achievabilitymkuu tangu umfahamu huyu jamaa hujawahi kupima maneno yake na matendo yake? tangu aanze siasa nchi hii!!!! gimme a break!!!! matatizo yanayowakabili wananchi wakiwa ndani ya treni wanasafiri ni sehemu ndogo sana ya mambo/matatizo yanaoyoikabili sekta hiyo.....labda kama alikuwa anaongeza geographia yake kichwani maana njia ya treni inapita porin na mijin pia...
Yaani mimi sangarara nikae kusubiri report ya matatizo ya usafiri wa treni na ugumu wa maisha ya watanzania wanaoishi jirani na reli? kwa raha zipi nilizonazo? kwamba nimekuwa natumia usafiri wa ndege maisha yangu yote? tusitake kuvunjiana heshima, au unadhani mimi ndondocha.sasa wewe mbona unalaumu kabla ya kusikia maelezo ya utafiti wake?
kila jambo lina mwanzo wake hakuna ubaya kwa mwakyembe kujiridhisha na mambo yanayoendelea wizarani kwake, ninacho kiona kwako ni hasira zako dhidi yake bila sababu.KAKUKOSEA NINI HATA UMSHUKIE KIHIVYO? naona uhasama wa richmond unaendelea.Inakuingia Akilini mwako kwamba Mtu ambaye amekuwa kiongozi katika serikali na mashirika yetu ya UMA kwa muda mrefu Kama mwakyembe analazimika kufanya safari ya namna hii ili kujifunza au kujionea mwenyewe ama matatizo ya usafiri wa treni au ya wananchi huko treni inakopita kama anavyoropoka huyu jamaa.
Maisha ya hao wananchi hao yanatofauti gani na yale ya wananchi wa Jimboni kwake Kyela? Majuzi alisema amepanda daladala kutoka mwenge kwenda tegeta na anadai kwamba tatizo pekee aliloliona na gharama kubwa ya nauli, matatizo ya wanaotumia usafiri wa daladala yanatofauti gani na wale wanaotumia treni?
Ni tatizo gani la usafiri wa treni mwakyembe amejifunza kupitia safari hiyo? alienda kuona kama kweli injini inazima zima? haya sasa siku hiyo haikuzima, kwa hiyo ametoka na picha gani hapo? kwamba habari za kuzima zima kwa injini za treni na hujuma za kishenzi zinazofanywa za kung'oa mataruma ya reli ni za uongo?
Give me a break.
Una maana wanaohubiri ubaya wa kitimoto wameshawahi kuonja walau kidogo?...Hivi utawezaje kuhubiri ubaya wa pombe wakati hujawahi hata kuionja? .