Kama aliwahi kukana PhD yake hamna namna tumpuuze tuHuyu Mwakyembe ukweli wake ni kutiliwa shaka...
Amefanya nini hadi aone kuwa usalama wake upo hatarini????!
Na ni akina nani hao wanaotishia usalama wake???!!!
Mtu huyu aliwahi kutoa madai kama hayo miaka ya nyuma, na akadai kuwa ametoa taarifa kwa IGP akiambatanisha na alivyoviita vielelezo/ushahidi.
Sasa kama anaona hilo lipo, yeye ni mwanasheria hivyo anaelewa taratibu. Zaidi ya yote yeye yupo katika kundi la watawala, sasa analalamikia wananchi ili iweje??
Awataje kwa uwazi hao wanaomtishia, pia aseme sababu ni nini.
Vinginevyo naomba wananchi tuamini kwamba huyu mtu anatafuta huruma yetu, hasa baada ya yeye kubaini kuwa wananchi tumepoteza imani naye kutokana na matendo yake ya hovyo dhidi ya umma.
Dada yang Joyce, usiichoshe akili yako kwa ajili ya mtu huyu.Jamani huyu kiongozi wa serikali ya ccm anatuchanganya.
Wao ndo wanamajeshi yote mpaka ya ziada wasiojua hata askari wake,kama yule aliyemuonyesha nape bastola !
Sasa kiongozi huyu akilalamikia usalama wake,wakati anatu
mia nguvu na akilizake zote kulinda ccm,ataeleweka kweli ?
Hapa kuna jambo kubwa sana analotafuta huyu waziri.mzee usitafute watu wachangie ili muwapeleke kisutu.huna lolote ni kakomedi kako na wewe ueanzisha.
wengine wanaotajwa kwenye orodhra hiyo ni pamoja na Dr Willibrod Slaa.
Sasa Serikali Yenyewe inaogopa na Mwananchi wa Kaida atasemaje Sasa au Maisha Yake yapo hatarini kivipi c zaidi ya Mwakyembe Sasa?
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema maisha yake yapo hatarini, amesema "pamoja na kuwa hawezi kulinganisha miaka saba iliyopita na sasa lakini bado maisha yangu hayako salama."
Akizungmza na Gazeti la MWANAHALISI, Dk Mwakyembe amesema "Siwezi kuwa salama siwezi kuwa naweza kutumia uhuru wangu wa kwenda kokote nikakota au wakati wowote ninaotaka.
"kwamba naweza kutumia uhuru wangu huo kama unavyotakiwa na katiba bado nina hofu ya maisha yangu ingawa siyo kama ilivyokuwa miaka ya mitano iliyopita " ameeleza DK Mwakyembe.
DK Mwakyembe alikuwa ni mmoja wa watu waliotajwa kwenye orodha ya wanaotishiwa maisha.
wengine wanaotajwa kwenye orodhra hiyo ni pamoja na Dr Willibrod Slaa.
kauli ya Dk Mwakyembe imekuja siku tano baada ya watu wasiojulikana kumteka na kumtesa mwanamuziki Ibrahim Musa (Roma Mkatoliki).
Dk Mwakyembe aliwahi kuripoti Februari Mwaka 2011 kuwepo kwa hatari ya kutokomeza maisha yake.
MWANAHALISI
He trying to attract sympathy when all that he has from the people is hate caused by his hypocrisy
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema maisha yake yapo hatarini, amesema "pamoja na kuwa hawezi kulinganisha miaka saba iliyopita na sasa lakini bado maisha yangu hayako salama."
Akizungmza na Gazeti la MWANAHALISI, Dk Mwakyembe amesema "Siwezi kuwa salama siwezi kuwa naweza kutumia uhuru wangu wa kwenda kokote nikakota au wakati wowote ninaotaka.
"kwamba naweza kutumia uhuru wangu huo kama unavyotakiwa na katiba bado nina hofu ya maisha yangu ingawa siyo kama ilivyokuwa miaka ya mitano iliyopita " ameeleza DK Mwakyembe.
DK Mwakyembe alikuwa ni mmoja wa watu waliotajwa kwenye orodha ya wanaotishiwa maisha.
wengine wanaotajwa kwenye orodhra hiyo ni pamoja na Dr Willibrod Slaa.
kauli ya Dk Mwakyembe imekuja siku tano baada ya watu wasiojulikana kumteka na kumtesa mwanamuziki Ibrahim Musa (Roma Mkatoliki).
Dk Mwakyembe aliwahi kuripoti Februari Mwaka 2011 kuwepo kwa hatari ya kutokomeza maisha yake.
MWANAHALISI
Hii wizara ni kama shimo la Tewa , Nape chupuchupu kutolewa ubongo kwa bastola , Mwakyembe naye hati hati !
Wakuelewa washaelewa mkuuNdiyo nini hiyo fent ford??????
Ye maisha yake hata yakiwa hatarini ni sawa tu mana wameshindwa kuisaidia nchi hii kaikana hata PHD yake..betri imeisha chaji
CCM inawatu wa vichekesho hasa hawa wanaokana maandiko yao