Mwakyembe: Mahakimu walioshinda kesi za rushwa wasirudishwe kazini, wananchi hawana imani nao

huyu ndio alikuwa anafundisha wanasheria wetu, ndio maana alivuruga ripoti ya richmond kwa kudai kuna mambo walificha ili kulinda hadhi ya serikali nasubiri tamko la Tanganyika law society au wataendelea kukaa kimya wakati waziri mwenye dhamana akifanya upotoshaji
 
Back
Top Bottom