Mwakyembe live bungeni

Mwakyembe live bungeni

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe
leo amejibu swali Bungeni
 
Kweli Mungu ni Mnene! Tena ana afya nzuri kabisa.
 
Walisema hatapona kalishwa sumu kali........... ukali wa hiyo sumu uko wapi?

walisema akili yake imeliwa na sumu hataweza kazi .....amewezaje kujibu swali bungeni?
 
Na anajibu maswali ya waheshimiwa wabunge kwa uzuri kabisa.
 
Vipi bado anavaa kofia (pama)? na groves? nadhani maeneo hayo ndio yalikuwa bado kidogo kupona.

Nadhani yuko fit alikwenda hadi kyela na kufanya mikutano ya hadhara na sasa katinga bungeni.

Wapi Mwandosya?
 
etieee! Nilimpenda sn huyu mh. Ila kutokana na kauli zake tata imani yangu kwake imeshuka sana, ila NAMTAKIA AFYA NJEMA NA KILA LA KHERI.
 
Is like albino hivi...!!!! Duuuhh wamemzeesha, kasogezwa 20 yrs ahead, looking like 85 yrs hivi... Jesus Christ...!!!
 
Ni dalili njema kwamba afya inarejea. Tunachohitaji zaidi kwake ni ubongo kufanya kazi kwa ajili ya taifa letu.
 
EDO LOWA ni mtu mbaya sana laana ya mungu itamshukia tu siku moja....siasa haitamfikisha popote.....
 
Maskini siasa zimemfanya hivyo: Angeendelea kuwa msomi UDSM na heshima kibao, au hana machapisho!!!!!?
 
Ningekuwa mimi Harrison baada ya kupona nigewaachia kazi yao kulinda heshima na utu na uhai
 
kuishi ndani ya ccm ni kama kubuni njia salama moja kati ya njia panda 6 na hizo tano zote zinaelekea kuzimu.
pamoja na yote bado yupo ndani ya chama?

kweli nyerere alikuwa na akili za ziada kama wana chadema wa sasa.
 
Back
Top Bottom