Mwakyembe kuvuliwa uanachama TLS rasmi!!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Rais wa TLS, Tundu Lissu amesema, wanachama wamepitisha azimio la kumvua uanachama Waziri Mwakyembe na kuwa wanasubiria maamuzi ya viongozi.

Mwakyembe alitishia kuifuta TLS hivyo kuhatarisha uhai wake kwa maslahi yake binafsi na watu wake!
Pongezi kwa uongozi wa TLS na wanachama waliopitisha maazimio hayo..!
 
Mnalolifanya hamlijui, hautapita mda mtaanza kulalia humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom