kunze
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 398
- 469
Hii Ni taarifa ya sahihisho ya iliyochapishwa kwamba Chief MAREALLE anajuzulu
Kesho tarehe 24/8/2019,Waziri wa Habari,Utamaduni,Vijana na Michezo,Dr. Harrison George Mwakyembe akiambatana na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Samwel Malecela wataungana na machifu kutoka pande zote za nchi kushuhudia Chief MAREALLE akistaafu rasmi uchifu na kukabidhi kwa mrithi wake.
Aidha,zaidi ya machifu 120 wanatarajiwa kuungana pamoja na viongozi hao katika kushuhudia mabadilishano hayo ya uongozi huo wa kimila kwa njia za amani huku wakilazimika kuzimia masuala kadhaa yenye mwelekeo wa kuwezesha Tanzania ya viwanda.
Kufanyika kwa kusanyiko hilo la viongozi wa kiutamaduni litakuwa ni mara ya na e mfululizo huku kusanyiko lote likifadhiliwa kwa gharama za Chief Marealle.
Kwa wanaoishi Marangu na jirani na Kibo hotel,mnaomba kuhudhuria kongamano hilo ili kujifunza namna Bora ya kurithishana madaraka kwa njia za amani.