kilght
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 635
- 182
Mbuge wa Kyela bwana Harrison Mwakyembe mambo yanamwendea kombo jimboni kwake. Juzi alizuiwa kwa Mawe na magogo na wanaichi wa Kyela na gari yake kumwagiwa pombe huku wakipiga kelele kuwa hawamtaki tena kwa kushindwa kutekeleza hata robo ya ahadi alizozihaidi siku za kampeni .
Alihaidi kiwanda cha juisi za embe na chungwa, meli ,kiwanda cha kugred mchele,barabara ya lami toka Kyela hadi Matema.
Chanzo mimi mwenyewe
Alihaidi kiwanda cha juisi za embe na chungwa, meli ,kiwanda cha kugred mchele,barabara ya lami toka Kyela hadi Matema.
Chanzo mimi mwenyewe