Tukiongelea utendaji, mie naona mwakyembe ni moja ya mawaziri wanaofaa sana na tunahitaji mawaziri wote wawe kama yeye. Ila tatizo la nchi yetu ni mfumo ndio maana hata mwakyembe kuna mambo anaogopa kuyafanya, kwahiyo dawa ni kuwang'oa ccm wote na najua tukifanya hivyo nchi itapiga hatua.
Yani wewe lzm utakuwa mpambe wa Mwakyembe. Na kwa taarifa yako ccm wakilogwa kumpa tena kugombea kyela basi UKAWA watakuwa na kazi ndogo sana kuchukua hilo jimbo.
Mkuu...naona KISU kimefika kwenye MFUPA povu zinamwagika sikidogo.....mnaogopa mabadiliko ingekuwaje ww kwa umri ulionao hadi sasa ungekuwa unanyonya ziwa la.MAMA acheni.woga mabadiliko ni LAZIMA
Sure, hata jamaa aliyeandika haya miaka 6 iliyopita alikubali utendaji wake.Hata mseme nini,Mwakyembe amepaboresha bandarini, anaendelea kuifufua ATC na TRL.
Mtu ukiwa na nia njema basi angalau ungetaja hata treni ya dar kama ni sehemu ya mafanikio yake.
Mimi katika mawaziri ninaowakubali wa kwanza ni Mwakyembe.Anafanya maamuzi sahihi sana katika mazingira magumu.
Harrison Mwakyembe a frustrated intellectual turned political mercenary. Among the three Mwas giants from Mbeya (Mwakyembe, Mwandosya, and Mwakyusa), he is the least accomplished despite his somewhat decent schooling. Eager to play in Serie A like the other Mwas, he is up for sale, and price could be as low as the Deputy Ministerial portfolio. He surprised many who thought highly of him by presenting his Richmond report to the House without the decorum befitting his personage and reputation and by including references to Kubenea incident that did not have anything to do with a power deal he was asked to investigate. However, he is clever enough to know that Tanzanians have such a short attention span and his 15 minutes will be over soon. One thing is clear: he will go down the way of another sensational Mbeya politician, Njelu Kasaka, who shook the nation in the 1990s and got the audacity to run for President in 1995 while his 15 minutes were up.