Mwakyembe hali tete Jimboni kwake Kyela

Mwakyembe hali tete Jimboni kwake Kyela

one time niliendaga kyela...maneno nikiyoyasikia toka kwa wananchi kule....dah, mwakyembe ajipange sana 2015. Chadema wanafanya vizuri sana kule jimboni kwake
Lowassa na timu yake kwenye kitengo cha fitna (Nasikia swahiba wangu Pasco ni mjumbe) wanamfitinisha sana Mwakyembe na wananchi. Wanaifadhili chadema ili kumkomoa Mwakyembe
 
Last edited by a moderator:
Mtu unatoka mabunga mpaka ipinda ndo ukapate huduma za afya ina boa sana kwa mbunge kama Mwakyembe kutolijua hili kama ni tatizo kwa wakazi wa vijiji vya
mabunga
kisale
kafundo
lupaso
mwache afukuzwe tu.
 
Laana ya Rafiki yake aliemtosa Prof Mvungi itamuandama hadi kaburini...

Amelaaniwa tayari sijui atajificha wapi. Hawa jamaa wana roho mbaya hawana huruma na maisha magumu kwa watanzania. Bila aibu wanakuja kuomba kura tena
 
Uwaziri huwa unapofusha Sana. Mwakyembe kabadilika!!!!! sikutegemea matusi aliyokuwa akitukana mafisadi Leo anaweza geuka na kuwa sehemu ya mafisadi pale BANDARINI......

Inawezekana kelele za akina mwakyembe na Sitta zilikuwa ni vilio vya WIVU tu.....

Tatizo lilikuwa ni uwaziri mkuu.
 
Duuu mwakyembe ana hali mbaya sana kyela yaani ukitamka mwakyembe au ccm lazima utukanwe na unaweza kupigwa niko kyela kwa wiki sasa

Naona wale the group of 5 wazee wa Kyela Resort wanakenua meno kwa yanayompata Mwakyembe,huyu Mwakyembe keshakuwa fisadi si muliona bungeni akajifanaya eti bunge lifuate agizo la mahakama,halafu hata kwenye BMK alijifanya yeye ndie anajua sana mambo ya katiba na kuwananga akina Lissu sijui kwamalengo gani,wakati alijua katiba anayotetea ni katiba ya kifisadi,hapana aende apumzike kama vile Mzee wa Msata atakavyoenda kupumzika lazima tumu-delete Mwakyembe na kawanza si alishasema si ataondoka pale mkulu akiondoka?
 
Uwaziri huwa unapofusha Sana. Mwakyembe kabadilika!!!!! sikutegemea matusi aliyokuwa akitukana mafisadi Leo anaweza geuka na kuwa sehemu ya mafisadi pale BANDARINI......

Inawezekana kelele za akina mwakyembe na Sitta zilikuwa ni vilio vya WIVU tu.....

Mwakyembe hafai kabisa. Sasa hivi ni Fisadi wa kutupwa: Kwenye taasisi zote zilizo Chini ya Wizara yake kaweka watu wake wote ili wale vizuri. Mapande (ambaye ni DG) wa Bandari ni mtu wake wakaribu sana pindi wakiwa Wizara ya ujenzi: DG wa Sumatra ni Class mate wake, DG wa TCAA ni rafiki yake wa Karibu sana. Na ufisadi anaofanya kila mwezi kuna fungu kutoka kwa taasisi zote zilizokuwa chini yake baadhi nimezitaja hapo juu. Anamtumia mama mmoja yuko pale wizarani anaitwa Tumpe Mwaijande kukusanya mafungu anayolipwa kifisadi (Tumpe wanatoka naye kijiji kimoja na Director of Maritime safety and security): Baada ya kupewa Uwaziri alitumia mbinu ya kutafuta popurality kwa kuwatimua wale jamaa ili aaminike kuwa ni mtu safi. Lakini siyo safi kabisa. Kwanza kipindi amepropose Jina la Mapande kuwa DG wa mamlaka ya bandari alipewa ushauri kutoka vyombo vinanvyomjua Mapande asivyo safi akakataa ushauri kalazimisha. Kumbe alikuwa na ajenda yake ya siri.
 
....

Chanzo mimi mwenyewe

Wanasema inabidi uwe verified user ndo chanzo cha wewe mwenyewe kiaminike...! sijui ni kweli. Hata hivyo kama alishidwa kutimiza ahadi na hana sababu za msingi (alikuwa mgojwa kipindi fulani) basi awajibishwe.
 
Wana JF,
Mwakalinga aliwaambia sana wana Kyela mwaka 2010
Kwamba Mwakyembe ni Msanii wa siasa na hatawasaidia
lakini watu wengi wakiwemo wa hapa JF wakaja na kila aina ya matusi.

Hii dunia adhabu ni hapa hapa duniani.

Hata kipindi cha 2005 mpaka 2010 Mwakyembe hakuwa na ufanisi wowote Kyela. Alitumia uwongo wa kwamba hapendwi na rais na anaandamwa na Mkuu wa mkoa ili kuficha failures zake katika utendaji .

Ila sasa mwisho wa uwongo umefika maana rais kampa cheo kikubwa na Mwakipesile sio Mkuu wa mkoa tena.
 
Haya ndo makosa ya mwakiembe kwa
wana kyela...... Mpaka kuchukiwa kosa kubwa ni kwamba

amepatelekeza kwaoooo...... Baada ya kunogewa na maisha ya dar

2.
 
Mwakyembe atoke tu. Ni mshenzy sana nilishangaa mwaka jana nilipoenda kyela nikapanda gari za ipinda mpaka matema nilishangaa kuona hamna mabadiliko yoyote barabara imejengwa rami km 2.5 tu halafu lami yenyew hovyo kabisa.

Nilisikitika sana alijifanya kiongoz bora kumbe mnafiki tu,,
yaan lazma ntarudi kyela mwakan ili kusaidia kumg'oa mshenzy huyu
 
Mbuge wa Kyela bwana Harrison Mwakyembe mambo yanamwendea kombo jimboni kwake. Juzi alizuiwa kwa Mawe na magogo na wanaichi wa Kyela na gari yake kumwagiwa pombe huku wakipiga kelele kuwa hawamtaki tena kwa kushindwa kutekeleza hata robo ya ahadi alizozihaidi siku za kampeni .

Alihaidi kiwanda cha juisi za embe na chungwa, meli ,kiwanda cha kugred mchele,barabara ya lami toka Kyela hadi Matema.

Chanzo mimi mwenyewe
ccm na wachina cdm na wananchi .
 
Tulimtahadharisha mapema sana kwamba kyela tunataka uhamasishaji wa maendeleo wa kibunge , tulitaka mtu atakayekuwa kiongozi , atoe mawazo ya maendeleo ili sisi tuyafanyie kazi , tulijua kwamba yeye binafsi hana hela za kuleta maendeleo ya kyela bali ameshindwa kabisa kuchochea mzuka wa maendeleo , SASA NATANGAZA RASMI KWAMBA NITAMG'OLEA MBALI 2015 , SITAKI LAWAMA .
 
Tangu aliponusurika kugeuzwa rangi ya mwili wake kuwa albino. Kumbe ile kemikali iliathiri hadi ubongo wake, masikini Mwakyembe!
Alisahau jambo moja tu kwamba watu wa kyela hawadanganywi kizembe .
 
Mpaka sasa hivi sijaona point ya msingi kabisa kuhusu Dr Mwakyembe na kumsema na ku mkashifu hasa kipindi hiki kwani siku zote mlikuwa wapi?

Ati mnamwita fisadi sijui mmnamaanisha nini maana mtu akiwa fisadi huleta maendeleo ya kifisadi jimboni kwakwe mfano mzuri upo kwa mafisadi kama tunavyo jua nenda monduli nenda bilikana pale town utaona mafisadi.

Ukiangalia Tanzania sawa kuna maeneo yana vijimaendeleo na si maendele kama watu wanavyo taka kutuaminisha hii inatokana na watu wachache kuwa wanamiliki uchumi wetu nchi yetu inategemea sana misaada nayo ukikaa vibaya huwafikia watu wachache sana ukiangalia mmbunge hata kama yuko vizuri vipi huwa yeye kama yeye hawezi leta maendeleo ya sehemu husika isipokuwa wananchi wenyewe wanatakiwa kuchangamka na wawaelekeza viongozi wanataka nini uku wakionesha mifano leo hii mnakaa chini na kuaminishwa eti tumng'oe Mwakyembe ndiyo tutapata maendeleo wanakyela mnapotea kabisa

Mwiteni Mbunge mwambie tumekuchagua tunataka moja mbili tatu huku mkifutilia na kuanza kulishughulikia hilo jambo apo mtaona mambo yanakwenda bila hivyo mtaishia kulalamika na kubadili viongozi na vyama ambavyo havisaidii kitu

USHAURI WANGU KWA WANAKYELA
kubadili viongozi na vyama si suruhisho kama ni suruhisho nipeni mifano mitatu hai ya wilaya au mkoa wenye maendeleo kwa kufanya mabadiliko kila kukicha

la msingi ni kuitisha mkutano wa Kyela nzima kisha mwiteni mkuu wa mkoa mbunge DED na viongozi wote kujadili matatizo sugu ya Kyela wapi panaposumbua nanianaye sumbua suluhisho ni lipi hapo mtaona maendeleo makubwa vitu vingine vingi vipo ndani ya uwezo wa wanakyela na si kunywa pombe na kutukana tu.

PIA KUNAMAKUNDI MBALIMBALI YAMEVAMIA KYELA YAPASA KUWA MAKINI
sasa hivi kuna makundi ya Urais kupitia vyama yakipita huku na huko kuakikisha yanaendelea kualibu na kutufanya tuwe masikini.
 
Yani wewe lzm utakuwa mpambe wa Mwakyembe. Na kwa taarifa yako ccm wakilogwa kumpa tena kugombea kyela basi UKAWA watakuwa na kazi ndogo sana kuchukua hilo jimbo.
 
mbona hamsemi matokeo ya uchaguz ea serikali za mitaa kwa mwakyembe na sita? au ukawa imepigwa ka 2009?
 
Wameshagundua wanaKyela kuwa Harrison Mwakyèmbe siyo mkazi wa Kyela bali wilaya ya Rungwe ambayo jimbo liko chini ya Mwandosya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom