Mwakyembe augua ghafla Bungeni

tunamuombea Mungu aweze kumpa nguvu.na paete kitengo kingine cjha kuchunguza mafiswadi
 
vooodoo jamani, na wabunge pia!!?? sitaki kuamini hadi atajwe huyo mchawi! kwikwikwi...

Unashangaa nini hapo sasa, sifa ya kwanza ya mbunge wa Tanzania ni kuwa amejizatiti sana ktk mambo ya kiwizard..
 
KOKOLO unaonaje wote uliyowataja wakashindwa kwa jina la Yesu na wakalegea kabisa kabisa wakashindwa kwa nguvu zote za MUNGU??
 
Ya, kufa ni kufa na kuugua nikawaida lakini kwanini aumwe baada ya mtu kuweka dawa kwenye kiti chake????
 
...Nadhani kuna haja achukue tahadhari pia hata kama ni ugonjwa wa kawaida lakini binadamu huwa anaweza kufanya kitu chochote, muda wowote na mahali popote. Ukizingatia mambo yaliyofanywa na kamati yake yamegusa maslahi ya watu.... But mi namtakia afya njema na aendeleze mapambano..bRAVO mWAYEMBE!!!
 
Mkuu wangu,

Nilikupa break,lakini naona umeanza kukurupuka tena. Haya,wewe unataka kumaanisha kwamba Mbowe kasababisha nini hapo?
 
Tumwombee Mungu amlinde...apone haraka arudi bungeni. na serikali iache hako ka mtindo ka kukolimba wateteaji wa wanyonge.
 
Unashangaa nini hapo sasa, sifa ya kwanza ya mbunge wa Tanzania ni kuwa amejizatiti sana ktk mambo ya kiwizard..

duh naruhusiwa kushangaa, kweli sirikali ndio maana haina dini, imeegemea kwenye voodoo (sijui kama ni wanasirikali wote ni kalumanzira). Siasa za Tanzania always unfair.
 
Nasema Na Napenda Kusema Kwa Msisitizo Kuwa Hii Siyo Habari Ata Kidogo,mwak Kuumwa Kaumbiwa Na Nadhani Katika Listi Ya Wagonjwa Wa Kweli Yeye Hayupo Kabisa.....ameamka Na Mahang Over Yake Ukuchanganya Na Dhambi Zake Za Usaliti Basi Kapata Mawenge Wenge Ya Ajabu....kifo Kwa Mwakyembe Ni Wajibu Wake.
 
Je na yeye aende kwa kalumanzira kama sio ugonjwa wa kawaida, jamani mama rwakatare hebu kemea hapo wachawi wote huko bungeni walegee.
 
wajaseria mali wengi bungeni wamejizidhika hawapo weupe kila mtu anapenda sana aende akawe anagonga meza mjengoni...kazi kweli kweli
 
This shall come to pass kwani hata nchi zilizoendelea walipitia hapa, uchawi kwenye jamii yenye matatizo yasikuwa na mwisho ni kitu cha kawaida.
 
Je na yeye aende kwa kalumanzira kama sio ugonjwa wa kawaida, jamani mama rwakatare hebu kemea hapo wachawi wote huko bungeni walegee.
ACHA IMANI ZA KISHIRIKINA WEWE UNAEJIITA MAMA.JINA LA MAMA LINA HESHIMA YAKE MSHIRIKINA.....
 
Duh,kaazi kweli kweli.Eti dhambi ya kusaliti mafisadi? may be ni dhambi kwa Shetani
 
vooodoo jamani, na wabunge pia!!?? sitaki kuamini hadi atajwe huyo mchawi! kwikwikwi...

Unashangaa nini hapo sasa, sifa ya kwanza ya mbunge wa Tanzania ni kuwa amejizatiti sana ktk mambo ya kiwizard..

Je na yeye aende kwa kalumanzira kama sio ugonjwa wa kawaida, jamani mama rwakatare hebu kemea hapo wachawi wote huko bungeni walegee.

ACHA IMANI ZA KISHIRIKINA WEWE UNAEJIITA MAMA.JINA LA MAMA LINA HESHIMA YAKE MSHIRIKINA.....

Fisadi sina imani za kishirikina,usikurupuke tu, okay?
 
Wasije wajanja wakawa wamempiga Bluetooth ya Zongo ili awe zezeta kwenye vikao vya bunge la bajeti?Na huyo mwanga anayesemekana alirudi tena ndani ya ukumbi wa bunge wakati milango ilisha fungwa alikuwa ana njama zipi?hebu jamiiforum mlioko Bungeni Dodoma tupasheni undani na ukweli wa sakata hili.Isije ikawa Soo wazee.Ogopa Fisadi,anaweza akakutoa roho kitumbua chake kikiingia mchanga.Watu bado wanatesa katika Kamati Kuu na Necs licha ya ufisadi uliowekwa hadharani.Eti wanasubiri ushahidi!Ustake Ncheke!
 
Fisadi sina imani za kishirikina,usikurupuke tu, okay?

ULIPASWA KUWAELIMISHA HAO WALIOSEMA NA SIO KUMTAKA MAMA RWAKATARE KUWAKEMEA WACHAWI AMBAO WEWE HUWAJUI NA WALA HUJAPATA KUWASHUHUDIA...PIA UNAJUAJE KAMA HAZIKUWA NA HANGOVA ZA POMBE NA SI UGONJWA?
 
ULIPASWA KUWAELIMISHA HAO WALIOSEMA NA SIO KUMTAKA MAMA RWAKATARE KUWAKEMEA WACHAWI AMBAO WEWE HUWAJUI NA WALA HUJAPATA KUWASHUHUDIA...PIA UNAJUAJE KAMA HAZIKUWA NA HANGOVA ZA POMBE NA SI UGONJWA?

usinifundishe cha kufanya, kwa nini wewe usielimishe, koma kabisa kunifuata na maswali ya hovyo, kwa nini usiwaulize woote WAMEJUAJE WANIULIZA MIYE? stop it, jadili mada ukishindwa na wewe katafute uchawi (ndio ninakuelimisha wewe)
 
Hizo ni nyama choma za sabasaba huko Dom!Wabunge punguzeni kula nyama ya mbuzi,na mfanye mazoezi ili kujikinga na shinikizo la damu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…