white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,891
msemaji wa familia ya mh.mwakyembe,victor mwambalaswa amekanusha uvumi uliokuwa umeenea kuwa mbunge wa kyela mh.mwakyembe amefariki dunia leo!na amesema hao ni wabaya wake ndio wanaoneza hizo habari.mheshimiwa anaendelea vizuri na j3 ,anaweza kuripoti kazini.source.radio one.
Mwakyembe na kamati yake ya Richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa Richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu Richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma Mwakyembe, shame on them. Ingekuwa China Mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.msemaji wa familia ya mh.mwakyembe,victor mwambalaswa amekanusha uvumi uliokuwa umeenea kuwa mbunge wa kyela mh.mwakyembe amefariki dunia leo!na amesema hao ni wabaya wake ndio wanaoneza hizo habari.mheshimiwa anaendelea vizuri na j3 ,anaweza kuripoti kazini.source.radio one.
Akili zako ziko ICU.Aliyezusha using huo itakuwa mtoto wa EL!
Mwakyembe na kamati yake ya Richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa Richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu Richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma Mwakyembe, shame on them. Ingekuwa China Mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.
Aliyezusha using huo itakuwa mtoto wa EL!
Mwakyembe na kamati yake ya Richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa Richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu Richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma Mwakyembe, shame on them. Ingekuwa China Mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.
aripoti kazini wapi? ngozi imejikunya mpaka inambana halafu unasema eti ataripoti kazini!!! hebu tupisheni hapa
Aliyezusha ujinga huo itakuwa mtoto wa EL!
Wazeew wa Kyela wameishia wapi na Safari yao ya ikulu au ndo imeahirishwa tena?
Mafua ya nguruwe yatakumaliza.Umewahi kuugua celebral malaria?????
tawile.Aliyezusha ujinga huo itakuwa mtoto wa EL!