Mkataba ulishajadiliwa hapa JF kwa kirefu. Inawezekana ulikuwa bado hujawa memba. Tafuta tu hizo documents humu JF naamini utazipata. Ukikosa wasiliana na modereta kiongozi.
Mambo mengine hayahitaji hata ujuzi wa sheria kujua kwamba ni mkataba wa kipuuzi.
Ufisadi umetufikisha hapa sasa mpaka nchi inamegwa kufidia madeni.