Mwakyembe apinga katiba mpya,

Mwakyembe apinga katiba mpya,

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
341
Reaction score
60
Nimeamini usemi wa msigwa kuwa ukiwa ccm hata kama wewe ni profesa au dr. Lazima akili uziweke mfukoni, dr. Mwakyembe asema hakuna haja ya kuwa na katiba mpya,wakati akitoa mada, chuo cha tumaini iringa

Kwa ufupi aliwakataza waandishi wa habari kuingia ndani, akaanza kumwaga pumba, eti anawashangaa watz kuandamana kisa katiba mpya wakati siyo suluhisho kwa nchi masikini binafsi nikaamini ccm wote wanafiki watupu!
 
Kweli nimeamini ule usemi wa kijana ukiwa CHADEMA hata kama uwe msomi ni lazima akili uziweke "masaburini".
 
Kweli nimeamini ule usemi wa kijana ukiwa CHADEMA hata kama uwe msomi ni lazima akili uziweke masaburini.
Ni kweli kabisa manake siku hizi ma Dr wanaingia humu kuandika matapishi tu
 
Ni ajabu sana kwa mwanasheria mtaalamu wa masuala ya katiba kutoa maoni kama hayo katika muktadha huu!..lakini hii inaweza kuwa ni matokeo ya ile polonium labda akikamilisha tiba yake india anaweza kukumbuka umuhimu wa katiba mpya. lakini pia inawezekana kuwa ni dalili za gonjwa jipya la ccmonia linalotishia taifa letu kwa sasa, namshauri amtafute dkt. Slaa ampatie chademaquine naamini itamsaidia!
 
kwa baregu na safari na uprofesa wao wa maandamano wanasaidia nn taifa zaidi ya kupanga kutetea magaidi
 
Mmeshaacha hoja ya msingi, mmeanza maneno ya kejeli na matusi !
 
Ukijiunga na ccm lazima ujivue ufahamu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kweli nimeamini ule usemi wa kijana ukiwa CHADEMA hata kama uwe msomi ni lazima akili uziweke "masaburini".
Hii ni jazba na political immaturity inawasumbua watetezi wa ccm.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukiwa ccm akili unaziacha LUMUMBA kila unapoingia kazini aliyeongea siyo MWAKYEMBE Dr bali ni MWAKYEMBE from Lumumba.
 
siwezi kuamini, mwalimu wa sheria mzima atamke upumbavu kama huo? naendelea kuamini mtoa mada wewe ndie hukuelewa
 
Back
Top Bottom