Mwakyembe apinga katiba mpya,

Mwakyembe apinga katiba mpya,

Tatizo misukule huwa mnanukuu neno moja badala ya kusikiliza sentensi nzima

Sikufahamu, hunifahamu ila naomba nikushauri kitu kimoja, jaribu kutumia maneno yenye staha unapojibu hoja. Sisi wote ni binadamu, tunatofautiana mitazamo, kuwaita wenzio misukule unakuwa hujawatendea haki watu wote mnaotofautoana mawazo. Hakima ni kitu cha muhimu sana.
 
kuna binam yang yuko tumaini anasema Mwakyembe hakupinga bali alikuwa akifundisha kuhusu lengo la kubadili katiba. Ameongeza kuwa Mwakyembe alikuwa akifafanua kuhusu katiba kuwa na viraka amalo ni jambo lisilo epukika. Ametolea mfano nchi mbalimbali kama Marekani ambayo katiba yake ilitungwa tangu mwaka 1787, miaka 78 baadae biashara ya utumwa ikasitishwa, so marekani ikafanya amendment na kuweka haki sawa kwa wote. Then miaka188 baadae mweusi wa kwanza akaruhusiwa kupiga kura.
Kwa ufupi alikuwa anafundisha na kutoa maelezo ya kina juu ya katiba mpya. Pia aliongelea juu ya kuwa na katiba inayohimiza uwajibikaji ndani ya serikali. Nadhani mleta mada amenukuu kipengele kidogo tu cha mafundisho tena nacho kakinukuu isivyo.
 
"Tafadhali unaposema Ma Dr. Inabidi uspecify.... Usiwe na daklili za Magonjwa ya akili kv. Generalizasion.
 
Kweli nimeamini ule usemi wa kijana ukiwa CHADEMA hata kama uwe msomi ni lazima akili uziweke "masaburini".

Kweli una juhudi, Wenzio salio limekata na wametoweka jukwaani hebu watonye we uliwekewa kiasi gani na matumizi yako ili nao waweze kuwepo. Tunamis sana michango yao.
Mtizamo wangu tu
 
mwakyembe amevurugwa teyari..chezea sumu ww

Polanium, ni kali kuliko ile wanayosingizia na kupigia upatu kina sho. na mwamp. ili kuongeza dau la siku. Acha kabisa utani na ile kitu, bahati alikimbilia kwa wawekezaji wetu.
 
Ni kweli kabisa manake siku hizi ma Dr wanaingia humu kuandika matapishi tu

Refer post zako zote halafu paa jukwani utuambie una ngapi zenye kujenga taifa ili tutofautishe post zako na za ma Dr.
 
Nimeamini usemi wa msigwa kuwa ukiwa ccm hata kama wewe ni profesa au dr. Lazima akili uziweke mfukoni, dr. Mwakyembe asema hakuna haja ya kuwa na katiba mpya,wakati akitoa mada, chuo cha tumaini iringa

Kwa ufupi aliwakataza waandishi wa habari kuingia ndani, akaanza kumwaga pumba, eti anawashangaa watz kuandamana kisa katiba mpya wakati siyo suluhisho kwa nchi masikini binafsi nikaamini ccm wote wanafiki watupu!

KUMWELEWA DK. MWAKYEMBE ULIHITAJI ANGALAU SHAHADA YA KWANZA YA CHUO KIKUU
Sishangazwi na hoja hiyo nyepesi, dhaifu na ya kishabiki kwani isingekuwa rahisi kwa baadhi ya wachangiaji kwenye jamvi hili wenye sifa ya kusoma na kuandika tu, au sana sana wenye stashahada za masomo ya jioni kumwelewa. Dk. Mwakyembe hakuitwa kueleza kama anataka Katiba Mpya au la, ila aliitwa kutoa maoni ya kisomi ya uzamifu kama Katiba Mpya itawaondolea Watanzania changamoto zote zinazowakabili. Katika kujibu swali hilo Dk. Mwakyembe alizichambua Katiba za Marekani, Ujerumani, India, Afrika ya Kusini, Kenya, China, Japan, Korea ya Kusini kwa
weledi mkubwa na kuchambua mazingira ya Tanzania na kuhitimisha kuwa Katiba Mpya on its own haiwezi kuleta mabadiliko ikiwa Watanzania wenyewe hawatabadilika kimtazamo na kifikra na kwamba umuhimu wa Katiba Mpya utaonekana
tutakapofanikisha ndoto ya Taifa iliyomo kwenye Development Vision 2025. Kwa rafiki zangu waliozoea nyepesinyepesi kwenye mikutano, waliambulia patupu na sass wanahangaika kumwingizia maneno ya kipuuzi Dk. Mwakyembe. By the way, wana-Tumaini tulimpa Dk. Mwakyembe standing ovation mara2 na hakuna aliyetaka atoke kwenye mhadhara huo kuanzia saa 9 mpaka 12.30. Namwomba Dk. Atoe dozi kama hiyo kwenye vyuo vikuu vingine.
Doulton, Tumaini, Iringa

 
tatizo kila mtu wakat mwingne anatafuta hoja hata kama haelew kuanzisha thread.dr mwakyembe ni msomi makin unapaswa kuwa makin pia kumsikiliza.kama nawe huna weledi wa kutosha ktk kipengele cha kusikiliza na kuelewa ndo utakuja na thread kama hzi za kimaamuma kabisa.sijui umeandika kisiasa au chuki binafs?maana ukiwa chama pinzan bas si lazima upinge na kupotosha kila kitu.akili za kishabiki changanya na za kiupembuz ndo utapata at least jambo la maana.bila hivyo utakuwa mjinga na ujinga ukikomaa huzaa upumbavu .ashakum si matusi
 
tatizo kila mtu wakat mwingne anatafuta hoja hata kama haelew kuanzisha thread.dr mwakyembe ni msomi makin unapaswa kuwa makin pia kumsikiliza.kama nawe huna weledi wa kutosha ktk kipengele cha kusikiliza na kuelewa ndo utakuja na thread kama hzi za kimaamuma kabisa.sijui umeandika kisiasa au chuki binafs?maana ukiwa chama pinzan bas si lazima upinge na kupotosha kila kitu.akili za kishabiki changanya na za kiupembuz ndo utapata at least jambo la maana.bila hivyo utakuwa mjinga na ujinga ukikomaa huzaa upumbavu .ashakum si matusi
 
Nimeamini usemi wa
msigwa kuwa ukiwa ccm hata kama wewe ni profesa au dr. Lazima akili
uziweke mfukoni, dr. Mwakyembe asema hakuna haja ya kuwa na katiba
mpya,wakati akitoa mada, chuo cha tumaini iringa

Kwa ufupi aliwakataza waandishi wa habari kuingia ndani, akaanza kumwaga
pumba, eti anawashangaa watz kuandamana kisa katiba mpya wakati siyo
suluhisho kwa nchi masikini binafsi nikaamini ccm wote wanafiki
watupu!



nani kakwambia hayo? ila ndio mwisho wako wa kufikili.
 
prof.mutunga ulikuwepo hapo Chuoni au ni ushabiki tu wako na Msigwa?
Nani kakwambia Tanzania ina mchakato wa kutrunga katiba Mpya?
Unajua kuwa kuanzisha nyingine mpya ni kitu kisichowezekana kwa nchi iliyotayari na jina (Mf Tanzania ni Jamhuri ya Muungano wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar)
Leo useme ni Muungano wa Kilimanjaro, Meru, Manyara na Iringa hapo ndio unaanzisha katiba Mpya
Nashindwa kukelewesha Professor Mutunga kwani hukumuelewa Mwakyembe basi tena ni mpaka urudi O' Level
 
Last edited by a moderator:
Nilipoteza imani na mwakyembe kitamboo tangia alipokubali pesa za mafisadi kumziba mdomo dah huyu mwakyembe hafai
 
Akili yangu haitaki kuamini kabisa kwamba Dr. Mwakyembe yule ninayemfahamu ameyasem haya, unless ni PROTOTYPE ya Dr. Mwakyembe.Kama Kweli ameyasema hayo sasa bado anafanya nini serikalini? Si anatakiwa awe amejiuzuru nyadhifa zote serikalini?. Sasa huyu a learned Doctor atakuwa na tofauti gani na akina Celine Kombani na Judge Werema waliosema kwamba KATIBA MPYA Tanzania haihitajiki. Baada ya miezi michache Boss wao (RAIS) akaunda sheria ya mchakato wa katiba mpya, but to my surprise hadi leo mushauri mkubwa wa sheria wa Rais AG Werema bado yuko Ofisini na Kombani wake. RAIS haoni, walitoa tamko hawaoni, Watanzania nao hatuoni. This is only possible to Tanzania!Kweli nime prove CCM IS A MENTAL DISEASE! Poor Dr. Mwakyembe
 
Nimeamini usemi wa msigwa kuwa ukiwa ccm hata kama wewe ni profesa au dr. Lazima akili uziweke mfukoni, dr. Mwakyembe asema hakuna haja ya kuwa na katiba mpya,wakati akitoa mada, chuo cha tumaini iringa

Kwa ufupi aliwakataza waandishi wa habari kuingia ndani, akaanza kumwaga pumba, eti anawashangaa watz kuandamana kisa katiba mpya wakati siyo suluhisho kwa nchi masikini binafsi nikaamini ccm wote wanafiki watupu!
Could he really do that? If he did, basi hajapona. Anahitaji uchunguzi zaidi wa afya yake.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mwakyembe alitegemea angekuwa Rais km angepitishwa kwenye kinyang'anyiro 2015
Sasa anaihitaji Katiba mpya na Jimbo lake wamemkaba kooni maji yamevuka kisogo
 
Back
Top Bottom