Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
ili tuendelee tumuhitaji sana Mwakyembe. Kama wewe humpendi jiunge na wenzako mkamtafutie sumu nyingine
Nipisheni naona chuki binafsi dhidi ya Mwakyembe haikwepeki kwenye kauli zako.
Vp, kwani kuna ubaya gani ukijiongezea nauli kisha usafiri na business class?
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani tanga.akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika dar es salaam.gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
Amewabana sasa Mnabwabwaja tu kama vichaa, na bado Mwakyembe atawanyoosha mpaka mtie akili, kwani kwenda Tanga shida iko wapi?!! Tanga sio Tanzania au?!! nani asiejua matatizo ya mji wa Dar hasa usafiri, so Tanga ilichaguliwa ili mkutano uwe na Utulivu...
Mbona sasa hivi garimoshi kuelekea/kutoka Kigoma ni daraja la TATU tuu wakati kabla ya RITES palikuwa na madaraja ya PILI na KWANZA vilevile garimoshi la Mwanza lilikuwepo!:confused2::confused2:Lazima mkae safari hii!Tatizo wabongo mnapenda sana starehe kuliko kazi yaani kwani ukikaa daraja la 3 hutafika?
Lazima mkae safari hii!Tatizo wabongo mnapenda sana starehe kuliko kazi yaani kwani ukikaa daraja la 3 hutafika?