Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
,kuna ndugu yako aliyepigwa chini kwenye bodi? chuki binafsi,Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
Vipi mkuu inauma nini na wewe uko katika mkumbo huo???? Hivi mawaziri woote na wakubwa wangeiga mfano wa Mwakwembe taifa lingeokoa Tshs ngapi????Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
naona una beef na MwakyembeWaziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
Unatatizo la ubinafsi tu na huna lolote.Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.